Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Hili ni suala pana mkuu. Kila mtu atalizungumzia kinamna yake. Chadema ndio wapo mitandaoni kupigia kelele huu uteuzi wa Nassari.

Je mtu akifeli biashara ya Mihogo ndio hafai kuajiriwa kuwa afisa Tarafa??
Lakini wao Chadema alipokuwa akifanya mambo hayo hawakumuona?? Je walimchukulia hatua gani???
kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasa

hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya
 
Halafu akishaondoka aje Ndugai au???? Nyie mbwa hamna shukrani Wala haijulikani mnataka nini pumbavu zenu,ndiomaana dikteta alihamua kuwanyoosha tu ,maana alishajua mitanzania baadhi Ni mizombii
Aiseeee yaani wewe acha tu. Watanzania tubadilike hawa jamaa wa upinzani wanashangaza sana
 
Kuna wanaodai tumpe muda lakini kuna mengi tu ambayo angekuwa ana nia nzuri ya kuweka maslahi ya nchi mbele basi angeshayafanyia kazi au at least kutwambia Watanzania ni vipi atayashughulikia tena kwa haraka lakini yupo yupo tu na mikutano yake na makundi ya Watanzania ambayo haina tija huku akiendelea kukwepa kukutana na Wapinzani wa kweli nchini. Sioni jipya na hilo la Katiba huru na Tume mpya ya uchaguzi kupatikana kabla ya uchaguzi mkuu October 26, 2025 tusahau tu.
Nimecheka 'yupo yupo tu'
Shida anasikiliza kila mtu
Anafurahisha na kulipa fadhila
Remote ya naniliuuu inaliangamiza Taifa
Mstaafu anamkoroga left right n center
Watu wameandika wamesema kuhusu akina bi kisarawe alberto nk lakini anawateua kama si dharau ni nini
Katiba Mpya ni jibu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasa

hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya
Ukweli ni kuwa,Nasari alisoma alama za nyakati awamu ya tano,akaona wapizani hawatoboi,japo anapenda upinzani ilibidi aji sacrifice na akinywee kikombe,akaingia deal ,ila hakutaka kuumiza feeling za wana cdm wenzake,kwani moyoni huyo kijana ni cdm,,so akaona sasa aweke mazingira ya utoro kazini,huko bungeni mpaka wao wenyewe wamfute ubunge,,badala ya kutangaza anahama cdm
 
ulitaka JOKATE asiteuliwe Tena kwanini? Na uyo Albet Msando kwani ana Tatizo gani? Acheni chuki zenu,wote Watanzania hao
 
Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Ninapayuka tena na tena: KATIBA MPYA itapunguza uhayawani huu!!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Halafu akishaondoka aje Ndugai au???? Nyie mbwa hamna shukrani Wala haijulikani mnataka nini pumbavu zenu,ndiomaana dikteta alihamua kuwanyoosha tu ,maana alishajua mitanzania baadhi Ni mizombii
Aiseeee yaani wewe acha tu. Watanzania tubadilike hawa jamaa wa upinzani wanashangaza sana
kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasa

hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya
Okey ndugu MADE man, tunakubaliana sasa kwenye paragraph yako ya kwanza.

Paragraph yako ya pili sasa itabidi uwe mjadala on it's own kuhusu hilo unalolisema alilifanya. Who knows?????
 
Nimetaka tu ku-acknowledge kuwa mr. Mshana siyo ccm, ila umemuweka huko kwa sababu ya hoja yake! Na hilo ni kosa letu wengi hapa jukwaani! Tupo tayari kumpinga Mtu ambaye Yupo sahihi, au kumtetea jambazi (Sabaya!) kama tu ni hoja inayohusu ‘chama chetu!’

Nine kuelewa, yani nikisikia mtu anamtetea Sabaya napata tabu sana!
 
Yupo yupo tu ANADEMKA DEMKA kukutana na magroup ya Watanzania yasiyoweza kutwambia ukweli halisi. Wazee wa Dar, UWT, UVCCM lakini ikija kukutana na Wapinzani wa kweli Chadema analala kona. 😂😂😂😂
Nimecheka 'yupo yupo tu'
Shida anasikiliza kila mtu
Anafurahisha na kulipa fadhila
Remote ya naniliuuu inaliangamiza Taifa
Mstaafu anamkoroga left right n center
Watu wameandika wamesema kuhusu akina bi kisarawe alberto nk lakini anawateua kama si dharau ni nini
Katiba Mpya ni jibu
 
Ukweli ni kuwa,Nasari alisoma alama za nyakati awamu ya tano,akaona wapizani hawatoboi,japo anapenda upinzani ilibidi aji sacrifice na akinywee kikombe,akaingia deal ,ila hakutaka kuumiza feeling za wana cdm wenzake,kwani moyoni huyo kijana ni cdm,,so akaona sasa aweke mazingira ya utoro kazini,huko bungeni mpaka wao wenyewe wamfute ubunge,,badala ya kutangaza anahama cdm
bado mkuu elungata hujanipa mwongozo kwahiyo wewe ungepata nafasi ya kuteua, ungemteua na kufanya naye kazi anafaa?
 
Yupo yupo tu ANADEMKA DEMKA kukutana na magroup ya Watanzania yasiyoweza kutwambia ukweli halisi. Wazee wa Dar, UWT, UVCCM lakini ikija kukutana na Wapinzani wa kweli Chadema analala kona. 😂😂😂😂
Alikua na nia hiyo,,maneno yakaanza kuwa mengi,mara,,ooh sie hatujipendekezi,mara. ..Never again,,maneno mengi sana,,,,bado anatafakari na Ataonana na wapinzani,,kiongozi mwenye hikima hawezi kukataa kuongea na upinzani...
 
ulitaka JOKATE asiteuliwe Tena kwanini? Na uyo Albet Msando kwani ana Tatizo gani? Acheni chuki zenu,wote Watanzania hao
yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari

wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
 
yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari

wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
Kweny suala la uchi hakuna mwanaume ambae yupo salama, sisi wanaume linapokuja suala la "K' hakuna usheikh Wala uchungaji,
Kwa kifupi "K" haina usheikh

Ukiacha ilo ,bado Msando anafaa tu, labda Sasa aje kuharibu hapo sawa tutamlaumu
 
yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari

wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
Trump alijisifu kumchezea uch* dada mmoja tena akarekodiwa na bado akapigiwa kura na wamarekani na akawa Rais wao kwa miaka minne.
 
Hili la uchapakazi sikatai, maana niko huku pia

Ila haibadilishi uhalisia kwamba mna ka ubinafsi, kujihisi bora kuliko wengine n. K, wakati hao mnaowaona duni wanawahifadhi huko kwao bila kuchunguza mnatoka wapi.
Mkuu Nyakubonga, nakuambia ukweli, mimi ni muamiaji kwa Wachaga, kutoka mkoa jirani tu! Kwetu kuna hisia hizo, na dhana kwamba Wachaga ni wezi, nk!
Kwa kuishi nao, nimejifunza sana! Jamaa wapo pisi sana na lengo kubwa la Mchaga ni kuwa na maisha bora, basi!
Anyway, ni Sawa kuwahukumu, hata mimi nilikuhumu kuwa Wewe ni ‘mfiwa’ , japo nimepatia maana umekiri kwamba Wewe magufulist! Lakini Wachaga ni watu pouwa sana!
 
Back
Top Bottom