Sala ziendelee Mola atende yake. Yaani ampende zaidi.Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
Msimpangie Mama cha kufanya.Huyu mama alipo bora sasa aseme kitu kuhusu katiba mpya kwa hiari yake.
Anakoelekea si muda mrefu hali ya uwanja itamlea.
Anazidi kuharibu tu kwani hizo nafasi MATAGA ndio walikuwa wanazitaka hivyo anazidi kuharibu pande zote.
Anatakiwa aachane na mambo ya kijinga aliyoyaasisi Mwendazake.
INA MAANA CCM NI MAJAMBAZI WANAUNGANA NA SABAYA?Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CDM na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
KWA MAGU ULIKUWA KIMYAHuyu mama anateua watu walionunuliwa.
Badala achukie upumbavu ule wa Mwendazake yeye anaupalilia na kuuenzi
Alitakiwa aonyeshe mfano kwa kukataa wasaliti, walionunuliwa, yeye anawareward.
Huyu mama hapa kazingua sana.
Acha mama apige kazi.Punguza kulalamika.Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Uteuzi wa Nassari Mataga wanapozwaje??Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CDM na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
Huwezi ukashukuru kwa kila kitu hata ambacho hakiko sawa,ila SSH yuko vizuri sana ni binadamu hawezi kumfurahisha kila mtu kwa kila kitu.Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.
Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.
Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.
Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Naunga mkono hojaNyinyi huwa hamna jema wala shukran.
Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.
Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.
Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Acha dawa iwaingie hawa KijaniIssue ya Sabaya ni ushindi kwa Chadema? Kila kitu Sio siasa mjinga kweli wewe what about:
- Watoto waliobakwa na kula witiwa?
- wanavyuo waliobakwa na kulawitiwa?
- walioteswa?
- waliozulumiwa?
Nyie CCM hamna akili kabisa! Na huu ubinafai wenu unafika mwisho si Mda mrefu!
HaswaaaKama ndani ya maccm kuna wanaomtetea yule jambazi na muuaji basi chama hicho hakistahili kuwepo madarakani kwani sasa ni genge la majambazi na wauaji ambao wako tayari kufanya maovu ya kila aina ili kujikusanyia utajiri haramu na kuua ili kuendelea kung’ang’ania madaraka.
Watu wa upinzani hua siwaelewi kabisa.Serikali ya CCM ilipoingia madarakani chini ya jemedari Magufuri mlidai hamuitambui.Magufuri alipofariki ,milishangilia sana ,kama kwamba nyie hamfi.Na mkamshangilia sana mama ,huku mkimshawishi awafukuze kazi wateule wa Magufuri. Huku ubongo wenu ukiwa umesahau kuwa mama kamshikia kazi Magufuri.Sasa mmebadirika ,mmeanza kumpinga Mama kwa kuwa ameteua watu ambao hamuwataki.Lakini kumbuka pia mmesahau kuwa mlisema hamuitambui serikali.Ushauri:Anzeni kudai katiba mpya ya cdm kwanza,ndio muanze kudai katiba mpya ya nchi.Mnamuogopa Mbowe ,dikiteta na mwenye chama cha familia.Acheni hizo.Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
Na hizi ndio mentality za Watanzania wengi wakidhani Nchi inapaswa kuendeshwa kwa utashi wa Rais na sio katiba, sheria na kanuni.Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.
Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.
Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.
Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.
Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Katiba mpya ni kipaumbele cha upinzani! Hivyo jawabu unalo mwenyewe.Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
Basi na Sabaya wamuachie na wafungwa wengine wote.Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ndio kosa.
Mkuu sijawahi kuwa na mashaka na hoja zako kila wakati. Lakini kuhusu huyu mama, please. Be slow, and I humbly beg you to revisit your position. Binafsi sina imani naye tangu siku ya kwanza. It's unthinkable kwa Rais kufanya maamuzi kwa kutaka kuridhisha kila kundi. It's next to impossibleMaza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CDM na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga