Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Sala ziendelee Mola atende yake. Yaani ampende zaidi.Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.