Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Hii nchi ni kituko cha karne. Mtu alitelekeza jimbo na bunge eti leo ametosha kuhudumia wilaya
Nyie ni wapumbavu ndio maana Jpm hakutaka kusikiliza kelele zenu kabisa!

Wakati anavuliwa ubunge unaosema hapa aliutelekeza si mlikuwa mnapiga kelele kwamba anaonewa?

Na si juzi tu hapa mlikuwa mnademka na mama eti anawakomoa mataga na marehemu?

Mtanyooka tu kama rula
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna chama kina wanachama wajinga kama chadema!
 
Ulipokuwa unademka humu hukujua haya?
 
Nakazia
 
ccm ni ile ile analog chakavu watu wale wale mawazo yale yake
 
Aliapa kulinda katiba, hivyo ni jukumu lake na wala sio hisani kuhakikisha watu wanatendewa haki.

Acheni kuwa wajinga!
 
Bora Jpm sio 😄.

Vumilia tu, Uongozi perfect utaupata labda kwenye ulimwengu wa kiroho.
 
Wahuni hawa wamegeuza siasa biashara kwahiyo mwenye mawazo kinzani ni msaliti
 
Aliapa kulinda katiba, hivyo ni jukumu lake na wala sio hisani kuhakikisha watu wanatendewa haki.

Acheni kuwa wajinga!
Dah,hii nchi kweli ngumu!!!!
Sijui mtu afanyaje ili kuwafurahisha aisee , mama ameeleza namna kwenye uongozi wake kuwa hatotaka Kodi ya dhulma, hatotaka kumuonea mtu, na ametoa uhuru wa kukosoa na pia kufungulia vyombo vya habari ambavyo vilifungiwa, ayo yote ni yale ambayo enzi za dikteta yalikosekana,
Leo Chadema inazunguka mikoani kufanya mikutano ya ndani,hatujasikia hata purukushani za kuvamiwa na polisi, na mengineyo mengi,

Sasa mnataka mtu wa namna gani!?? Na mama ana siku mia tu tayari mshaanza kusema hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…