Bado unaamini kuna wa kupotezwa maboya kwa style hii?Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Waovu na Wahalifu kamwe hawawezi wakajichunguza wao wenyewe.Si kwamba watenda wanajichunguza?
wewe unaweza kupigana na watu wenye silaha wewe ukiwa mikono mitupu? Neema ya MUNGU ituokoe tu kwa hapa tulipofikiamdudeeee sumu ya nyigu 7x40 kelele zote zileee duu kila mbabe na mbabe wake
Inaumiza sana sana sanaKwahiyo wanataka kutuaminisha kuwa waliomteka Mdude sio wao.
Mawazo ya Mtu hayakataliwi kadri fikra zake zinavyomtuma, polisi ndiyo wamefika.Kwahiyo wanataka kutuaminisha kuwa waliomteka Mdude sio wao.
Waliomchukua na kumteka Mdude ni Mapolisi sasa wanachunguza nini?!Mawazo ya Mtu hayakataliwi kadri fikra zake zinavyomtuma, polisi ndiyo wamefika.
Ripoti ya mauji ya Ali Kibao wameenda nayo ili tujue wana jipya?Mawazo ya Mtu hayakataliwi kadri fikra zake zinavyomtuma, polisi ndiyo wamefika.
Hongera Bado haujakuwa,ukikuwa utaelewa.mdudeeee sumu ya nyigu 7x40 kelele zote zileee duu kila mbabe na mbabe wake