RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
wewe unaweza kupigana na watu wenye silaha wewe ukiwa mikono mitupu? Neema ya MUNGU ituokoe tu kwa hapa tulipofikia
Antenna zetu za Mbeya, Songwe na Rukwa hazisomi kuhusu ni wapi alikopelekwa Mdude.RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Dah ww jamaa fala sana 😂mdudeeee sumu ya nyigu 7x40 kelele zote zileee duu kila mbabe na mbabe wake
KIONGOZI UWE NA CHEMBE BASI YA UTU,HURUMA NA UBINADAMU KWA NINI FEDHA YA DAMU KUTOKA CCM INAKUONDOLEA UTU.Uhakika mdude amechukuliwa na POLISI NA HATA AKIUAWA NI POLISI WANAHUSIKASasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Na mimi nashangaa...Waliomchukua na kumteka Mdude ni Mapolisi sasa wanachunguza nini?!
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Huyu jamaa wamemtafuta siku nyingi sana , mwaka huu tutaimba kama ya Ben Saa NaneRCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Uchadema usikuvae sana mpaka ukakuondolea tafakari ya kudadisi angle mbali mbali za tukio!Igizo hilo kutokwa kwa policcm.
Waliopiga wafuasi wa cdm ni polisi au wahuni wanaojifanya?!! Alaf polisi imeshindwa kudhibiti hao wahuni?Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
The female Agusto PinocchetRCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Hakuna mjinga wa kukubaliana na hoja yako mfu, hao polisi wangekuwa watu na wana utu wangekuwa wamesha kamata walio husika na matukio yote ya mauaji yaliyo fanyika nchi hii kwenye mikono yao.Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Moja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania, namshukuru Mungu niliacha kazi kwa hiari yanguRCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi