Kuna habar inapikwa soon utaisikia hizo ni ishara kwamba Mdude inawezekana keshauwawa.Waliomchukua na kumteka Mdude ni Mapolisi sasa wanachunguza nini?!
Kwa jinsi hiyo damu ilivyomwagika hapo, bila medical attention sidhani kama Mdude yuko hai sidhani.Kuna habar inapikwa soon utaisikia hizo ni ishara kwamba Mdude inawezekana keshauwawa.
Siku Moja hii kauli itakuhukumu...!!mdudeeee sumu ya nyigu 7x40 kelele zote zileee duu kila mbabe na mbabe wake
Na tukumbuke tu Dkt Magufuli hayupo maana walishangilia kifo chake utadhani alikuwa ubwa hahaha, ngoja wavune walichopandaRCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Haya sio mambo ya kitoto. Ya kitoto yanaweza kupuuzwa na mara nyingi hayana madhara makubwa. Hili ni ki utu uzima na linatakiwa kupewa umuhimu wa hali ya juu. Sio la kupuuza hata kidogo.Naona mambo ya kitoto yanaendelea.
Unaweza kutoa clue japo kidogo kuwa waliomshambulia mdude ni kina nani kwenye hiyo angle yako ya ukunguni/ uchawa wa kumsafisha mikono iliyojaa damu za watanganyika kaburu mwanamke kutoka Unguja.?Uchadema usikuvae sana mpaka ukakuondolea tafakari ya kudadisi angle mbali mbali za tukio!
Kwa kweli kila mkosoaji awe na gun, na ajifunze kidogo kujihami...mateke, ngumi meno ππππππ, ndipo tulipofikia hapoNas-- Got your self a Gun.
Beba hata Jiwe la Mzani tembea nalo Mana wakimkosa target na wewe ukawa site unaliwa Kichwa wanapeleka Taarifa "Eliminated n No trace bahaindi"Kwa kweli kila mkosoaji awe na gun, na ajifunze kidogo kujihami...mateke, ngumi meno ππππππ, ndipo tulipofikia hapo
Haya sio mambo ya kitoto. Ya kitoto yanaweza kupuuzwa na mara nyingi hayana madhara makubwa. Hili ni ki utu uzima na linatakiwa kupewa umuhimu wa hali ya juu. Sio la kupuuza hata kidogo.
Najua hukumaanisha hivyo lakini maneno yako yanaweza kutafsiriwa hivyo.
Amandla...
Kabisa, hata sisi humu jf sifhani km tuko salama...Beba hata Jiwe la Mzani tembea nalo Mana wakimkosa target na wewe ukawa site unaliwa Kichwa wanapeleka Taarifa "Eliminated n No trace bahaindi"
Mimi mambo ya siasa za vurugu kama Mdude sitaki, bora nikaangalie challenge ya wimbo wa "KUNA" TiktokRCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi