Hapo ni lazima tutegemee kabisa ya kuwa itakuja taarifa mbaya inayo muhusu kamanda. Hii ni uthibotisho tosha ya kwamba anapitia katika bonde la uvuli wa mauti π€π€π€π€π€RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Mwenye akili timamu anijuze ...wachunguze kuwa ni Mdude au mwingine!? Ili nini!RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Polisi wetu wanadhani watz woote hatuna akili kama wao!Kwahiyo wanataka kutuaminisha kuwa waliomteka Mdude sio wao.
Unataka adadisi 4 Rs?Uchadema usikuvae sana mpaka ukakuondolea tafakari ya kudadisi angle mbali mbali za tukio!
Wasije kuwa wamekuja kuharibu ushahidi au kujua upande wa pili unajua nini na wao watoke vipi.Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Ukweli kama mi ndo ningekua mkewe nisingeruhusu waingie tena ndani.. pumbafu zaoSasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Ukiwaamini polisi wewe nawe ni mjinga tu.Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Aisee CCM wameishiwa mno. Unaona huo mkwara mbuzi walioweka na kujifanya kuweka namba kwenye vielelezo! Halafu wakapiga picha kabisa na kuipost ili waonekane wako serious. Hawa vilaza kwanza hawajui hata maana ya hizo namba walizoweka.Bado unaamini kuna wa kupotezwa maboya kwa style hii?
Sasa sijui nani mjinga, hivi polisi wagome kufanya kazi kwa wiki mbili tu, unadhani hapo mtaani kwako kutakalika?Ukiwaamini polisi wewe nawe ni mjinga tu.
Dah nini wakati wewe ndio chanzo cha haya yote yanayotokea.Dah! π₯