Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.

Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.

IRAN IMETHIBITISHA:
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.

Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Kwahiyo ndege 100 ndio zilienda kuua askari wanne tu Iran!!!!

Haki ya Mungu ile kweli ilikuwa safari ya chizi
 
Muwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.

Ukishindwa kutungua ndege vita kwenye anga lako ujue utapigwa tu na mabomu yake. Ndo maana wameweza kupiga maeneo hayo yote.

Hapo huyo Genaral hawezi sema ukweli, ila ni wazi Iran imepata hasara kubwa kijeshi, sidhan kama hata atathubutu kulipa kisasi. Maana inaonekana anga lake halina ulinzi mzito.

Cc T14 Armata
Kwaiyo yale tuliyoona kwenye clip yakitunguliwa yakitunguliwa na mfumo gani?
 
Muwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.

Ukishindwa kutungua ndege vita kwenye anga lako ujue utapigwa tu na mabomu yake. Ndo maana wameweza kupiga maeneo hayo yote.

Hapo huyo Genaral hawezi sema ukweli, ila ni wazi Iran imepata hasara kubwa kijeshi, sidhan kama hata atathubutu kulipa kisasi. Maana inaonekana anga lake halina ulinzi mzito.

Cc T14 Armata
Duuuuh!
😂😂😂
Naona umemtag na mwalimu wako kabisa!
Kijiwe gani unashindaga kupiga soga mkuu?
 
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.

Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.

IRAN IMETHIBITISHA:
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.

Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Kuna mmoja kajinyonga😂
 
Ndege za ndege za Israel zilianza kuingia Iran kuanzia siku ya Ijumaa, na Iran haikuweza kufanya kitu:

Some Israeli warplanes breached Iranian airspace during operation Friday, sources say.​

Sources say? Yaani hapo basi, umeshamaliza?
😂😂😂😂
 
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake!
Sikubaliani na hizi futuhi kwa sababu kwanini habari za Israel kukandwa haziko huru kungekuwa na uhuru wa habari wa haya mambo ningeisifu Israel baada ya kujua upande mwingine lakini mambo hayako fair kwanini tunafichwa
 
MuIran ana tim ya kutumia ndege ujaze mafuta utumie wadada wakaka mara ndege itunguliwe!! wao washaondoka uko watu wamekaa seem wanainua viuma kutoka chini mojakwamoja unaletewa moto ulipo iyo tela viv na miji mingine inasubilia promise3 funga kazi wayahudi fake wameanza kukimbia awataki iwakute promiss 3 na kwao OG kupo wanaondoka na awarudi tenq washajua yqjayo siorafiki kwao zama za mawe kwa mtutu zimeisha kwasasa mtutu kwa mtutu. airport ipo biz kinoma Netanyahu kachanganyikiwa watu wake wanasepa miji itakosa watu .
 
Muda ushaongea, Iran ilirusha makombora 200 hakuna mu Israel hata moja alieuawa

Israel imetuma watoto wa kike wakajipigie na kweli wamepiga,

Iran walianza kusema wanajeshi wawili, jana wanne, inawezekana ni wengi zaidi wanaogopa aibu ya kupigwa na watoto wa kike
Kwaiyo unafikiri lengo ni kuuwa tu au Lengo la Iran si kuuwa raia wa kawaida bali kupiga miundombinu ya kijeshi tu ya Israel mfano mzuri ni Navitm airbases ambayo ilipigwa na picha za satellite zikionesha impact na kama Lengo lingekua kuuwana basi makombola yote yangeelekezwa kwenye maghorofa ya Tel Aviv au juzi Israel ingelenga maghorofa ya Teran kwaiyo vifo sio malengo bali ni ajali katika mission
 
Hao marubani ni nyie mnaona wanawake kumbe wamepachikwa papuchi upinde wote hao
 
Kuna ndege yoyote ya Israel ilitunguliwa ??
Sasa ndege itatunguliwaje akati imeishia Iraq!
Wangethubutu kuingia anga la Iran na sio kurushia Iraq. Unadhani wao ni wajinga mpaka wakaamua warushe wakiwa Iraq 100km to Iran border. Tumia akili kidogo mkuu!
 
Kama ishu ni kuua basi Israel imefeli pakubwa maana haiwezekani ndege zaidi ya 100 alafu uue watu 4 tu!
ndio maana walituma marubani wa kike, wana huruma !! hata hao wanajeshi waliouawa itakuwa ni kwa bahati mbaya, Target zilikuwa ni kuharibu mifumo ya ulinzi ili waingie kulipua viwanda vya drones na Makombora

Lingekuwa ni balaa zito mno wangetumwa wale wazee wa kazi walionyakua helikopta ya Rais wa Iran, kumtegea bomu chini ya kitanda kiongozi wa Hamas akiwa Iran, Kuwahangaisha kina Yahya kutupia vijiti drone, n.k.
 
R
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Rada iliyoharibiwa inatengenezwa mkuu?? Hahahaha 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom