ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Iran wamezima Internet kwa miaka mingi, Kupata videos ni ngumu
Lakini inatosha serikali ya Iran Imekiri yenyewe na chanzo ni Al - Jazeera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran wamezima Internet kwa miaka mingi, Kupata videos ni ngumu
Lakini inatosha serikali ya Iran Imekiri yenyewe na chanzo ni Al - Jazeera
Waliouawa toka vita vianze kwa Palestine na Gaza ni zaidi ya 42,000. Kaulize Al Jazeera.Wambie wakueleze Israel kuna vilema wangapi wacha walio kufa, afu kaulize vifaru kabla yavita walikuwa navyo vingapi na sasa vingapi.
Hizi habari za dunia unazo soma lazima ziwe za Israel, UK, France, Germany na US ndio zitakubaliana na wewe tena ni 40%
Tuoneshe ushahidi wa hayo unayo sema kwa video au kwa picha na sio kutuletea ngonjera.Mifumo ya ulinzi ya Iran hio
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
- Kwenye ndege 100 za Israel hakuna yoyote iliyoguswa
Tuoneshe hizo hasara alizo zipata Iran tuzione .Muwe mnajielimisha japo kidogo. AD system haziwezi kutungua makombora yanayorushwa na ndege vita.
Ukishindwa kutungua ndege vita kwenye anga lako ujue utapigwa tu na mabomu yake. Ndo maana wameweza kupiga maeneo hayo yote.
Hapo huyo Genaral hawezi sema ukweli, ila ni wazi Iran imepata hasara kubwa kijeshi, sidhan kama hata atathubutu kulipa kisasi. Maana inaonekana anga lake halina ulinzi mzito.
Cc T14 Armata
Iran toka mwanzo walisema kuna minor damage ya shambulio la israel, ndiyo maana wakatangaza hata wahanga wao jeshiniYamekuwa hayo tena mtumish si ulisema kwamba vimondo vya Israel vilitunguliwa vyote
Kumbe ayatollah anazurura tu!?..tuliambiwa kajificha shimoniNizaidi ya wanajeshi wanne wairan wame kufa kibao tu..maana Leo Ayatollah alipo kuwa anahutubia wamama walibeba picha kibao za waume zao watoto wao Ayatoli..kawa mpole haamini
Nilisema wapi?..mimi siku ya shambulio nililala hoi baada ya kazi ngumu za shamba, asubuhi nawasha TV naona kumbe taifa teule walishambulia na iran walisema maafa yao mapemaLakini si ulisema hawajapiga kokote maalim?
Kajichomoa huko mapangoniKumbe ayatollah anazurura tu!?..tuliambiwa kajificha shimoni
He kumbe myahudi alileta uharibifu? basi mi nikajua hakuna chochote kilichoharibiwa je ni kweli pia kuwa wairan wanne wameuliwa na Israel?Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Hivi unajua rada inavyokua!?..ni kama dish la DStvHe kumbe myahudi alileta uharibifu? basi mi nikajua hakuna chochote kilichoharibiwa je ni kweli pia kuwa wairan wanne wameuliwa na Israel?
Si mlikuwa mnabisha kuwa Ayatolah hajachakazwa?!Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
Ahsante nilikuwa sijuiHivi unajua rada inavyokua!?..ni kama dish la DStv
Tuoneshe ushahidi wa hayo unayo sema kwa video au kwa picha na sio kutuletea ngonjera.
Maana video za makombora kutunguliwa vipo nyingi.
Hizi akili nyingine ni hatari!Hapo ni false flag anatafutiwa sababu huyo Israel ili apigwe vizuri , lazima Iran aseme ameizwa na kuitwa hasara ili apigwe vizuri
Wazee wapo wanapasha kidogo. Iran ikijibu tu wajuba wanakuja wale wenyewe waelaminatewiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.
IRAN IMETHIBITISHA:
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zake zimeteketezwa
- Kiwanda cha makombora kimetekezwa
- Kiwanda cha drones kimeteketezwa
Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran
Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi