Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

Sheria gani imevunjwa nikijiunga na jeshi la nchi nyingine.
Mbona sijawahi kuona wakikataza au kukemea yale matangazo ya barozi ya marekani wanatoaga kukaribisha vijana wanaotaka kujiunga na jeshi la Marekani kwa mkataba?
 
Jkt ipo wazi
 
Unaowaona insta wameukana uraia wa tz kabla ya kujiunga kwao. Maana jeshi la marekani lenyewe linalazimu uchukue uraia wa nchi hiyo kwanza

Ooh! Ila naona siri yao maana nakumbuka walihojiwa wakasema wao ni raia wa tz
 
this is free world bwana, kama mtu anapassion yakuwa mjeda na hapa mmemnyima nafasi acha akomae pale kwenye fursa...
 
KUNA TOFAUTI YA KUWA MWANAJESHI WA NCHI NYINGINE
NA KUWA ASKARI WA MAMLUKI(MECENARIES),AMBAYO SAHIVI WENGI WA HAYO MAKAMPUNI, WANAO WARECRUIT MECENARIES WANAPENDA KUJIITA
SECURITY CONTRACTORS
sasa utamzuia vp mtu asiende kujoin
Hayo makundi maana huko yeye anaenda kupigana kwa malipo!
Akipona akifa ni juu yake

ova
 
Bi mkubwa miyeyusho sana, vijana wamepigika yeye analeta ushubwada,
awakataze wanae wanaoishi vizuri Masaki,
Huku vijana wamevurugwa ajira ngumu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wagner ni magaidi
Hiyo ni ajira kama ajira nyingine. Yaani nikae jobless nasubiria wazee wapambane, wakati nafasi za kujiunga Wagner zipo!? Nitakuwa mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…