Si muvi zote zilizo wekwa humu zinahusiana na uzi. Wengi waliomo humu ni wafuatiliaji wa muvi na wanavyanzo vingi kutuzidi hata wengine akina sisi. Si vibaya kudokoa majina ya muvi kali mpya zinazotoka. Na kupitia uzi huu ni.enufaika sana na muvi wanazo nitajia wadau humu hata kama hazihusiani.
Naomba link ya operation fortune clear versionMs Marvel episode 1 tayar, naona hamjaiongelea
Out of context movie kwa Jamaa etu [mention]Mr Q [/mention]
Kwenye picha hapo chini nakuongezea na
Jurassic World: Dominion
View attachment 2256758
Naomba link ya operation fortune clear version
Nampenda Sonic,Ms Marvel episode 1 tayar, naona hamjaiongelea
Out of context movie kwa Jamaa etu [mention]Mr Q [/mention]
Kwenye picha hapo chini nakuongezea na
Jurassic World: Dominion
View attachment 2256758
tafuta hizo movie zipo mbili, hutojutia muda wako.Halafu hao GOTG sijawafatilia kabisa zaidi ya kuwaona kwenye Avengers na nikawapenda walivyo team up na Thor,
As long as Rocket Raccon atabaki, nilimkubali sana kwenye Avengers Thor akamuita Rabbit maskini.
Rocket:There's one more thing we need to complete plan,That guy's eye[emoji23][emoji23]"Rocket anapendezesha sana movie
Kuna scene ilinichekesha mantis alivyosema
The crabby puppy is so cute he makes me want to die! [emoji1787]
"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rocket:There's one more thing we need to complete plan,That guy's eye[emoji23][emoji23]"
Quill;No we don't need that guy eye
Rocket:No, Seriously I need it[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rocket anapendezesha sana GOTG
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kwenye ile trailer mpya ya Thor love and thunder analalamika alidhani wapo holiday
[emoji1787][emoji1787] alisema itakuwa kama holiday lakin hajamaanisha ni holidayHahaha rocket alifikiri watakuwa holiday na thor akamjibu shit gan sijui
[emoji1787][emoji1787] alisema itakuwa kama holiday lakin hajamaanisha ni holiday
Yeah ,alafu alikufa kizembe sanaassistant wa Thanos[emoji1] yule mjomba ana dharau sana na sura yake ya samaki
Happy belated birthday brotherToday is my name day
View attachment 2256564
Oyaa we unasema movie ya moribus na Jared Leto wamezinguaPerformance anajitumaga sana anaenda extra Miles lakin wapi!... mda mwingi movie akihusika zinabuma
Hiyo Suicide squad critics ziliishambulia balaa same kwa The Morbius n.k you name it
MOvie za star wars hazina tofauti na za marvel unatakiwa uangalie zile za nyuma za mwaka 1980s sijui 70s hadi sasa upate chronological order nzuri
Na ktk movies ambazo ktk hii lifetime yangu natamani nizifatilie ila chronological order yake ni too complicated hazieleweki ni
Terminator
X-Men
Star wars
Za juu nishazielewa
Ila finally baada ya kuangalia intro ya season mpya ya star wars " Obi wan Kenobi" wametoa summary nzuri sana hata nikafahamu jambazi maarufu apart from thanos wa mcu kuna Huyu Darth Vader ametokea wapi since day one nilikuwa natamani nimfahamu ni moja ya famous figure wa star wars franchise
Nikimaliza obi wan Kenobi nitatafuta movie ya star wars ya KWANZA kabisa nimependa story yake na zilivyo nyingi [emoji1787]
Inahusu nini??Kama kuna mtu hajawahi kuitazama hii series basi kapitwa na mengi sana[emoji1787][emoji1787]. Nimeanza kuitazama 2020 kidogo nizimie kwa arosto
View attachment 2261394
[emoji3][emoji3][emoji3]season 3 nasubili zifike hata 6 ndo nainze kuangalia staki arosto ya kukaa week nzima na wameshafanya renew ya season 4Kama kuna mtu hajawahi kuitazama hii series basi kapitwa na mengi sana[emoji1787][emoji1787]. Nimeanza kuitazama 2020 kidogo nizimie kwa arosto
View attachment 2261394