Marvel Cinematic Universe special thread

Oyaa we unasema movie ya moribus na Jared Leto wamezingua

Watu wako Bize huko ku sign petition irudiwe kuonyeshwa theatre

Kitu kina trend

Hii petition nilifikir was a joke sikuichukulia serious kwa sababu kila naemjua anasema Morbius sio kali
 
Kama kuna mtu hajawahi kuitazama hii series basi kapitwa na mengi sana[emoji1787][emoji1787]. Nimeanza kuitazama 2020 kidogo nizimie kwa arosto
View attachment 2261394

Niliishia season 2 ni kali kwa degree zake ila ina gruesome violence na mm sio mdau sana wa hiyo kitu, ntajaribu tena season 3

Naona kaongezeka Dean Winchester wa Supernatural
 
Superheros wanajifanya wanasaidia watu ila kiukweli ni wauaji tu wabinafsi, ila kwenye public eye wanajionyesha wema...plot inazunguka hapo
Nishaipenda tayari, this weekend itanitambua,
[emoji2]
 
Yaani kama hujaangalia toka mwanzo hizi movies za star wars lazima uchanganyikiwe [emoji1787].


Nimeishia episode moja ya wan Kenobi nataka nianze kuangalia movie ya kwanza kabisa mpka ya mwisho

Ndio nianze kuangalia season zao Ile ya Bob fett na obi wan Kenobi
 
Mi kiukweli napenda movies za marvel

Ila kwa season ya Ms marvel kwangu naona wametoa boko kwakweli sio nzuri
 
Mi kiukweli napenda movies za marvel

Ila kwa season ya Ms marvel kwangu naona wametoa boko kwakweli sio nzuri

mm nilisinzia episode 1 nlisema kule juu[emoji1375]

Hollywood wakiwa wanatengeneza movies based on culture nyingine huwa wanakosea kama hii Ms Marvel picha linaanza sipend representation ya famili yake wamemfanya yule Maza anaonekana crazy over protective

Waliweza Black panther na Shang-chi ila hii familia ya kihindi ya Ms Marvel inaniboa
 
Daah yaani mbaya kichizi kilichobaki tusubiri Thor tu
 
The Seven ni kundi la superhero linalojumuisha Homelander, A-train, Meave, Translucent, Black Noir, Deep, nk. Kiongozi wao ni Homelander ambae yupo sawa na superman. Japo wanajifanya superhero ila wana mambo ya hovyo ya chini chini wanachojali wao ni kuingizia kampuni yao ya Vought pesa.

A train ana superspeed siku moja akampamia na kumvunjavunja vipande mdada ambae ni mpenzi wa hughie, hapo ndio saga linaanza Hughie anataka kulipa kisasi. Pia kuna bwana anaitwa Butcher hawapendi balaa hao masuperhero. Akakusanya kikundi cha wanaotaka kulipiza kisasi kwa hao superhero, wakajiita The Boys wao hawana superpower.

Mimi nachopenda kwenye hoi series ni uigizaji wa Anthony Starr (Homelander) waliowahi tazama series ya Banshee wanamuelewa. Huyu jamaa muda wote anatabasamu. Ila tabasamu lake limeficha chuki, uovu na roho mbaya haswa, anakuua anakutabasamia.🤣

Kubwa kuliko Season 3 Episode 1

Baada ya kutoka muvi ya Avangers Endgame fans walikua wanasema kwanini hawakufanya Ant-Man ajigeuze awe mdogo halafu aingie kwenye butthole ya Thanos kisha ajirudishe mkubwa na kumuua Thanos.
Waandaaji wa The Boys si wakachukua hiyo theory bwana, S3Ep1 kuna superhero anaitwa Termite anaweza kujigeuza kama Ant-Man ni gay alikua anafanya sex mpenzi wake akamwambia aingie kwenye tundu lake la Dudu🤣🤣🤣🤣
Jamaa akaingia ndani ya dudu akawa anaikuna kuna kwa ndani. Bahati mbaya akapiga chafya akarudi kua mkubwa akampasua pasua vipande mpenzi wake🤣

Hii scene inatisha na kuchekesha kweli
 
Huu uzi ndio nauona leo. Ngoja nisome kwanza past comments ndio nitaanza kuchangia.

PS: I don’t do Marvel’s TV Shows. Hawajawahi nifurahisha. I only do Movies.
 
Billy butcher anawamind superhero sabab homeland alimbebea mke wake
 
Kunguru tafuta maana star wars hata mm sielewagi kitu sijajua toka Mwanzo ilikuwaje Franchise imeanza zamani sana toka hatujazaliwa

Ukizipata chronologically ntakutafuta nizipate na assume utakuwa Manzese😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…