Marvel Cinematic Universe special thread

Niliwahi kulielezea hili kipindi cha nyuma, soma hapa unaweza pata mwanga kidogo kuhusu Clea.

NB. Doctor Strange tayari ipo Torrent mnaweza kuipakua sasa with high Quality.

Niliangalia video hiyo ya Trailer la Multiverse of madness, kuna Sehemu wakati Christine Palmer anafunga ndoa anasema kwamba christine atakua ndio anaigiza character ya Clea, ambae ni mke wa Stephen strange kwenye comics...Mimi nakataa. Na nitatoa factors/theory zangu Kama ifuatavyo.

โœ“Kipindi Drew Goddard anatengeneza Series ya Daredevil alitaka kutumia character ya Night Nurse kutoka kwenye comics ambapo Huyu ni nesi/manesi anayehudumia Superhero waliopata majeraha kama vile Punisher,Luke Cage,Iron fist, Daredevil nk. Lakini Drew Goddard aligundua kwamba character hiyo inampango wa kutumiwa na MCU miaka ya baadae. (Ndio alikuja kutumiwa kwenye muvi ya Doctor strange akiitwa Christine Palmer)

Drew alibadirisha character ya night Nurse na kutumia jina la Claire Temple, waliotazama series za Daredevil, Defenders,Luke Cage walimuona.

So mpaka hapo tumejua kwamba christen Palmer mpenzi wa Stephen strange kwenye comics anafahamika kana night nurse....

Clea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.

#: Sasa sidhani kama itakua sahihi kama MCU wataruhusu Character ya Night Nurse na Clea ichezwe na mtu Mmoja, yaani watuaminishe kua night nurse ndio clea sidhani kama watakua wamefanya vyema hasa kwetu tunaofatilia comics, Marvel studios creative team wapo makini sana sidhani kama wataweza kuruhusu mkanganyiko huu.


Kiujumla Clea ni mke wa Stephen Strange nadhani itakua hivyo kwenye muvi pia. Clea ni shemeji yetu usimchukulie poa and she's so powerful
 
Muda sana sijafika pande hizi.

Inakuwaje wakuu??

Kama kuna mtu alishaangalia DR.STRANGE 2 yule dada wa kwenye post credit (Clea). Nahitaji maelezo yake zaidi.

Da'Vinci , Jorge WIP, Kunguru wa Manzese and others
Mnakaribishwa

โ€œClea....
Clea ni mtoto wa Umar (kama sijakosea) mpwa wa Dormamu pia, Anaishi Dark Dimension huyu walikutana na strange wakapendana japo kuna uadui lati yao wakafunga ndoa, waliungana na kua wanapambana pamoja dhidi ya mystic beings.โ€
Maneno ya Daโ€™vinci haya kamaliza kila kitu japo kuna vitu vingine viliendelea ila kifupi ndio hivyo.

Btw siku ya kwanza Kumuona clea Nkashtuka damn sheโ€™s fine af
 
Sijakupta mbn movie inaanza clea anaolewa wasemaje ndio mke w strng
 
Mkuu clea movie inaanza anaolewa
 
Mkuu clea movie inaanza anaolewa
Anaeolewa ni Christina Palmer/Night Nurse na sio Clea.
Clea ni mke wa Stephen kwenye Comics ndio tusubiri muvi zijazo kama atakua mke/Mpenz wa Stephen au wataamua kugeuza.
Halafu kwenye comics mpenzi wa Night Nurse hua ni Luke Cage ila Luke Cage mke wake ni Jessica Jones.
 
Sema Stephen aliumia sana pale kwa Christian in every universe jamaa anahangaika kumpata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Kunguru tafuta maana star wars hata mm sielewagi kitu sijajua toka Mwanzo ilikuwaje Franchise imeanza zamani sana toka hatujazaliwa

Ukizipata chronologically ntakutafuta nizipate na assume utakuwa Manzese[emoji28]
Usiwaze [emoji2][emoji2][emoji110]
 
Hivi ni mimi pekee yangu nimewaona

Celestials kwenye trailer nyengine mpya fupi ya leo ya Thor love and thunder ?
 
Nimeangalia The Boys hadi Season 3 episode 5,

Jamani wamejua kunilaza alfajiri hawa Watu, [emoji119]

Nasubiri muendelezo wa Episodes zilizobaki,

Butcher ananikera anavyokua Mean kwa kila Mtu hasa pale alipomwambia Ryan kua hajasahau alivyomuua Mke wake, jamaa akiwa Super Hero kamili si ataua hadi Nzi.
 
Is your idiot brain get fuccked by stupid!!!?

Yaani hii Series hainichoshi kabisa, umeanza S1? Leo inatoka S3Ep 6 naisubiria itoke niipakue. Butcher mshenzi sana kila mtu anamwita Cunt๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… uliona kimiko alivyoua watu kwa kutumia Dildo???
Hii Series tamu sana yaani hua nacheka sana
 
Mnenifungua Sana shukran
 
Kimiko alinishtuaaaaa ile Dildo alivyoipitisha kisogoni ikatokea mdomoni au alivyoenda kuwaua wale walatino sijui Spanish kwenye Bar yule mmoja akamvua sura uwiiiiiii,

Butcher hilo tusi la Cunt analipenda ila itakua alilirithi kwa Baba ake maana alimuita Cunt ile siku,

Kwenye The Boys namkubali sana Franchie, kwanza sikudhani angeenda this far walivyomteka yule Invisible nilijua angekufa kumbe he is the genius one, i hope yeye na Kimiko watakua na Happy ending,

Homelander wengi hawajamjulia the guy all he wants is to be loved, shida wengi wanakua hawampendi bali wanamuogopa ila Stormfront alikua perfect match wake, nilicheka the girls walivyoungana wakampa kipondo Stormfront hadi akakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niko S03 episode 1 naenda speed ya ghuta ๐Ÿ˜‚
 
Hivi soldier boy kajitahid performance au maana yeye ndio Cap wa kwenye The boys
 
๐Ÿ˜ณnilikuwa situmii Jf ya web leo naona mtu aki type inaonesha kama WhatsApp.. interesting
 
Mimi homelander tu nampenda uiguzaji wake. Yaani hua nacheka sana akiongea, kama kuna pale S3ep1 baada ya Starlight kuwa Cocaptain wakawa wanapiga picha basi akawa anatabasamu. Like tabasamu lilikua linatisha balaa.
Meave ca bend metal pipe steel without using her hand๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…


Homelander ni Ruthless hata ukimpenda bado haisaidii maana ubaya upo ndani yake. Wale watu waliokua kwenye ndege walimkosea nini sasa si hata angejaribu kuwaokoa?? Kiboko ya Homelander ni Stan Edgar tu๐Ÿ˜….

Right now nimemaliza kuitazama Ep6 yaani nimecheka sana Herogasm jamaa mmoja ana bonge la dyudyu kama anakonda. Let me spoil it for ya Cunt๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Nilikua najua SoldierBoy anaweza kumpiga Homelander asee kumbe najidanganya. SoldierBoy kapewa kichapo na Homelander Butcher akamsaidia ila bado na Hughie akaingilia ndio kidogo wakafanikiwa kumdhibiti Homelander akakimbia. Sasa Starlight kaongea uovu wote wa Homelander na ksema kajiondoa Vought. I can't wait for Next Friday ๐Ÿ˜‹
Ningepata mwanamke anayejua muvi Kama wewe ningeinjoi sana. ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Hivi soldier boy kajitahid performance au maana yeye ndio Cap wa kwenye The boys
Kala kichapo leo balaa..bila Butcher na Hughie angekufa. Sema hua anbeam fulani ambazo akizipiga anaua Superpower za mtu kama ilivyotokea kwa kimiko. Ile ngao yake ni nzito balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ