Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Challenge #02

Kati ya Captain America na Optimas Prime, nani anatoa Speech bora yenye kuhamasisha

Captain america Speech

Optimus prime speech
Optimus prime ukisikia sauti yake imeisha iyo
Tena na anavyomalizia basi kibabe I'm optimus prime I send this message..... Bla bla mwishoni unaeza kudhan na wewe ni Autobot
 
I'm trying to comprehend your pitch pal!
Unaposema kwamba good guy wapo potrayed perfect in good way na bad guy ndio wapo realistic unamaanisha nini?? Kwamba hao good guy wanafeki?? Ila hao badguy ndio hawafeki character yao??

Confusing[emoji848]

Bt leo namalizia S4 ya Ricky and morty

namaanisha good guys wanavyokuwa portrayed ni ngumu ku relate nao mtu kama Spiderman ni selfless, John Snow hasemi uongo...wakat Tz kila mtu anadanganya kuanzia kazin mpaka nyumban kwake

Mfano: Thanos ni adui he did what he thought was right.. eternal imeelezea, ukija Loki nae alikuwa adopted ana issues na baba yake ukija Hella dada ake thor nae daddy issues, Villain wa spiderman kina electro walikuwa na imperfections ambazo unaweza ku relate

Ndio maana nkataja Hawkeye maana the guy is human na ana issues kibao zina mu haunt

PS: R & M ukifika S05 kuna episode ya Decoys kuna decoy nyingi titled ...(nimeisahau) ila ni one of the best episode... ukiskia habar za decoys tu jua hiyo[emoji28]
 
Optimus prime ukisikia sauti yake imeisha iyo
Tena na anavyomalizia basi kibabe I'm optimus prime I send this message..... Bla bla mwishoni unaeza kudhan na wewe ni Autobot

Michael Bay yeye anapendaga miripuko na watoto wazuri tu, [emoji28]
 
Sanahan guys 3 days ago ndio nimecheki endgame, ila sijaelewa pale capt aliponyanyua nyundo ya thor [maybe he derseve it] ilikuwa anapewa na power ya ku summon thunder?
 
Sanahan guys 3 days ago ndio nimecheki endgame, ila sijaelewa pale capt aliponyanyua nyundo ya thor [maybe he derseve it] ilikuwa anapewa na power ya ku summon thunder?
ili swali hata directors waliulizwa Joe and Anthony Russo lkn majibu yalikua hayaridhishi
Eti kwamba Cap always alikua Worth Ku summon iyo mjölnir na ana deserve pia hata ukiangalia age of ultron alitaka kuibeba ila akaacha pale ndo alijua kua anaweza ila akakausha na pili wakasema kua ni kwasababu yeye alikua pure of heart hana secrets kwa wenzake kwakua aliweza kumwambia Iron man kua wazazi wake waliuliwa na bucky sidekick wake Cap.
NB: Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor." So in other words, if a person who is worthy holds the hammer, they are able to access Thor's powers. That's why Cap can use lightning.
 
Kila nipatapo wasaa nitakua naelezea makundi mabalimbali ya superhero yaliyopo kwenye Marvel Comics. Mengine tulishayaona kwenye film, mengine bado! Leo nitaanza na hili..

Illuminati

Kwenye marvel Universe kuna race mbili ambazo hazipatani kamwe kila muda zinagombana. Race hizo ni Kree na Skrulls, ambapo Kree ndio hua bad guys kama tulivyoona kwenye Guardian of the galaxy Vol 1 na Captain marvel.

Kipindi fulani makundi haya yakiwa yanapigana yalikuja hadi huku duniani, wakasababisha mauaji na uharibufu mkubwa.. Superhero wa duniani walipoona hivyo wakafanya kikao maalumu, kikao kikifanyikia Wakanda.

Iron Man akiwakilisha Avangers, Mister Fantastic akiwakilisha Fantastic Four, Namor akiwakilisha Atlantis, Black Bolt akiwakilisha Inhumans, Professor Xavier akiwakilisha X-Men, Black Panther akiwakilisha Wakanda na Doctor Strange walijadiriana kuunda chombo kama UN ambacho kitakua kinafuatilia matukio ambayo yanaweza kuhatarisha usalama wa dunia.

Kundi hili waliliita Illuminati na lilikua kinafanya kazi na vikao kwa siri, superhero wasiokua members hawapewi taarifa juu ya kinachoendelea.

Ila baadae chombo hichi kilikuja kusababisha matatizo zaidi kama vile Secret Invasion, Civil War nk..
To be continued......

Mnaruhusiwa kuongeza kwa wale mnaofahamu
images (57).jpeg
 
Dah, nakumbuka hii scene theatre yote ili go nuts watu wanapiga makofi wengine wanashangilia dah was the best moment aisee

Na pale Wanda alipokuja anasema “you took everything from me” kuna mdau tulikuwa wote akawa anasema “check boobs zile” [emoji1787][emoji1787] nna silly memories ila ndio nazipenda hivyo hivyo

Nasubiri Multiverse of Madness nikapige kelele tena[emoji3]
 
Hivi honestly speaking jamani kwa walio tazama Spider Man - No way home, Fight scene ya spider na strange hivi ni kweli spider man anaweza kum outsmart Dr strange na kinachoshangaza strange akikupeleka kwenye mirror dimension umeisha na spider alimdefeat strange kule wakati Dr strange ni more powerful naona maana na kumbuka kama alienda toe to toe na thanos na hakuweza kuchukua time stone ila alimpa tu so huyu jamaa ni powerful
kwahyo sasa je spider man anamuweza Strange or mathematics (Geometry) is better than Magic ??
Au spider alijivutia tu kwakua movie ni yake??
 
Hawa masuperhero wote wanaviziana hakuna mbabe wa mwenzake mtu akishajua uzaifu wako ndio anautumia bhasi kwaiyo spiderman alishajua uzaifu wa strange ndio akamuahi sio kwamba ni powerfull sana ukiangalia kwenye campatain america ile civil war walivyokua wanapiga wao kwa wao kuna muda campatain america alipigwa na spiderman pia akaja kulipiza
 
NB: Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor." So in other words, if a person who is worthy holds the hammer, they are able to access Thor's powers. That's why Cap can use lightning.
The Odin curse in Thor god of thunder. Thanks pal somehow nimeelewa
 
I think marvel owe us capt america movie to a life after returning in past cez it seems Alexis (black widow adopted father) met him in 84-85
 
I think marvel owe us capt america movie to a life after returning in past cez it seems Alexis (black widow adopted father) met him in 84-85

Exactly, nilikuwa nafikiria kuandika kitu kama hiki.

Pia wangetuonyesha anaporudisha Soul Stone atakapomuona RedSkull itakuwaje, maana they fought in the past na hawakumalizana.

Pia bado nina maswali kuhusu Soul Stone yenyewe, if it is a soul for soul kama Redskull alivyosema ina maana Cap anaweza kuwa granted kumrudisha mtu mmoja?

Kama unapochukua sheria ni A soul for soul, kwanini unaporudisha isiwe A soul for soul too?
 
ili swali hata directors waliulizwa Joe and Anthony Russo lkn majibu yalikua hayaridhishi
Eti kwamba Cap always alikua Worth Ku summon iyo mjölnir na ana deserve pia hata ukiangalia age of ultron alitaka kuibeba ila akaacha pale ndo alijua kua anaweza ila akakausha na pili wakasema kua ni kwasababu yeye alikua pure of heart hana secrets kwa wenzake kwakua aliweza kumwambia Iron man kua wazazi wake waliuliwa na bucky sidekick wake Cap.
NB: Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor." So in other words, if a person who is worthy holds the hammer, they are able to access Thor's powers. That's why Cap can use lightning.

Sababu ya pili mbona kama vile inakataa!?

Maana secrets ilitoka kwenye Civil War wakati Cap ali attempt kunyanyua in Age of Ultron?
 
Inaendelea......

Civil War

Ilitokea superhero wamekua wengi, siku moja kuna jambo walikua wanarekodi wakasababisha mlipuko ambao uliua watu karibia 600. Superhero wengine wakaja kusaidia kufanya uokozi kwa majeruhi... Wananchi wakacharuka wakawa wakimuona superhero yoyote wanampa kichapo heavy.

Bunge la marekani likamuita Iron Man kama kiongozi wa Avanger wakakaa chini wakatengeneza sheria ambazo zitawaongoza superhero wote waliita Superhuman Registration Act (Kwenye muvi inaitwa Sokovia Accord).

Sheria ziliwataka kwamba superhero wote wawe chini ya chombo maalumu kudhibiti matendo yao, Iron Man akapeleka jambo hilo kwenye kundi la Illuminati Doctor strange akakataa kusaini maana yeye ni Sorcerer Supreme, Namor pia akakataa kwamba haimuhusu yeye na watu wake wa Atlantis (chini ya maji)

Kimbembe sasa kikawa kwa Captain America na yeye ndio hakutaka kabjsa kusikia habari za hiyo Accord, Serikali ikatangaza kuwasaka superhero wote ambao wamekataa kusaini. Captain america na wafuasi wake wakaanza kuwindwa na SHIELD, Sasa Cap na kundi lake akawa anafanya kazi kwa siri za kupambana na Wahalifu as always. Hapo ndio cap akaliita kundi lake Secret Avengers

SHIELD waliposhindwa kumdhibiti Cap ikabidi Iron Man na wenzake waingie mzigoni kumuwinda na wafuasi wake, Wakakutana zikachapwa hasa Iron Man kidogo auawe na Cap!. Baada ya kuzichapa Cap alikuja kuuawa na Sharon Carter ambar alikua ame-Brainwashed

Baada ya tukio la Civil War, Iron Man akawa Director wa SHIELD. Ikaanzishwa kundi jipya lililoitwa Newa Avanger.
images (60).jpeg
images (59).jpeg
 
Rogers anatoa speech za kuhamasisha nzuri kama Endgame pale Rocket na Paul Rudd wakawa wanasema “he’s pretty good at that”[emoji28]

Optimus prime ana sauti ya aina yake kwa sauti tu anajua
Optimus prime ile ndio sauti yake in real life?
Daaah kuna kipind nilizani morgan freeman then nikahis yule jamaa wa taken ile kumbe ni mzee gani sijui
Ni nouma jamaa angekuwa rais wa nchi alafu aende UN hahaha ingekuwa dunia nzima inatulia kumsikiliza.
 
Kila nipatapo wasaa nitakua naelezea makundi mabalimbali ya superhero yaliyopo kwenye Marvel Comics. Mengine tulishayaona kwenye film, mengine bado! Leo nitaanza na hili..

Illuminati

Kwenye marvel Universe kuna race mbili ambazo hazipatani kamwe kila muda zinagombana. Race hizo ni Kree na Skrulls, ambapo Kree ndio hua bad guys kama tulivyoona kwenye Guardian of the galaxy Vol 1 na Captain marvel.

Kipindi fulani makundi haya yakiwa yanapigana yalikuja hadi huku duniani, wakasababisha mauaji na uharibufu mkubwa.. Superhero wa duniani walipoona hivyo wakafanya kikao maalumu, kikao kikifanyikia Wakanda.

Iron Man akiwakilisha Avangers, Mister Fantastic akiwakilisha Fantastic Four, Namor akiwakilisha Atlantis, Black Bolt akiwakilisha Inhumans, Professor Xavier akiwakilisha X-Men, Black Panther akiwakilisha Wakanda na Doctor Strange walijadiriana kuunda chombo kama UN ambacho kitakua kinafuatilia matukio ambayo yanaweza kuhatarisha usalama wa dunia.

Kundi hili waliliita Illuminati na lilikua kinafanya kazi na vikao kwa siri, superhero wasiokua members hawapewi taarifa juu ya kinachoendelea.

Ila baadae chombo hichi kilikuja kusababisha matatizo zaidi kama vile Secret Invasion, Civil War nk..
To be continued......

Mnaruhusiwa kuongeza kwa wale mnaofahamu
View attachment 2115001
Doctor strange aliwakilisha wachawi au?
 
Optimus prime ile ndio sauti yake in real life?
Daaah kuna kipind nilizani morgan freeman then nikahis yule jamaa wa taken ile kumbe ni mzee gani sijui
Ni nouma jamaa angekuwa rais wa nchi alafu aende UN hahaha ingekuwa dunia nzima inatulia kumsikiliza.
Mzee wa Taken Liam Neeson.. jamaa anitwa Peter Cullen toka miaka ya 90 anaigiza sauti ya Optimas Prime, Very remarkable voice. Kuna huyu Mzee James Spader mae ana sauti nzuri sana kama mmeicheki Blacklist series na hasa kwenye muvi ya Avanger Age of Ultron
Doctor strange aliwakilisha wachawi au?
Gladly you asked coz I would like to take this moment to explain my evil plan to you😅😅

Doctor strange alikuwepp hapo kama Sorcerer Supreme wa dunia, since anatakiwa kujua kila kinachoendelea ndio maana hata Ancient One alipokua Sorcerer Supreme alikua anajua miaka fulani ijayo atatokea Stephen Strange kuchukua nafasi yake. Pia kwa uwezo alionao Lazima angekuwepo maana soon or later Lazima wangehitaji msaada wake.

Prior to that matter above....

Hata SHIELD walikua wanajua baadhi ya mambo yanayoweza kuja kutokea...How??
Baada ya tkeo la 2012 (Battle of New York) SHIELD ilianzisha kitu kiitwacho PROJECT INSIGHT kazi ya project hii ilikua kufanya patrol dunia nzima kwa kutumia Helicarrier tatu. Ndani ya Helicarrier kulikua kuna Alogarithim ambayo ilikua inachambua tabia za mtu na kujua kama zinaweza kuja kua hatari baadae, kama ni hatari basi mtu alitakiwa kuuawa. Kwakutumia Alogarithim hii SHIELD waliweza kutambua kwamba miaka ijayo atakuja kutokea Doctor Strange.

Bahati mbaya Project ilikuja kushikwa na HYDRA kama tulivyoona kwenye Captain America:The Winter Soldier. Kwanini Hydra waliweza kuishika project hii?? Kwakua ilianzishwa pia na Armin Zola mika ya 70. Kama ulitazama Series ya Agent of Shield utaona kuna episode Mackenzie na Daisy walienda back in time miwaka 76 kuharibu program hii
 
Gladly you asked coz I would like to take this moment to explain my evil plan to you[emoji28][emoji28]

Hahahah nimeisoma huku sauti ya Ultron naisikia kichwan sema jamaa alikuwa ana lines tamu sana

“Keep your friends rich and enemies rich and wait to find out which is which”

Kuna hii scene pia
Thor: Is that the best you can do?

Cap: You had to ask

Ultron: This is the best I can do, This is exactly what I wanted All of you, against all of me
 
Back
Top Bottom