Marvel Cinematic Universe special thread

Pengine sikuwa mfuatiliji makini wa movie za MCU lakini naomba kujua ilikuwaje Thanos amfanye jamaa huyu kuwa chawa wake maana mshkaji ananguvu kubwa ilikuwaje kuwaje??
1704452465156.jpeg
 
Nadhan alimuadopt
Da'Vinci
Pengine sikuwa mfuatiliji makini wa movie za MCU lakini naomba kujua ilikuwaje Thanos amfanye jamaa huyu kuwa chawa wake maana mshkaji ananguvu kubwa ilikuwaje kuwaje??View attachment 2879098
Kwa mujibu wa comics thanos alimchukua akiwa bado mdogo akamlea like gamora and Nebula.
Hata kama isingekua hivyo bado Thanos alikua ana uwezo wa kukutana nae na kumuelezea plan yake na Maw nadhani angekubali kua sidekick wake. Since once a villain always a villain, hata kama anakuzidi nguvu mtu mwenye roho mbaya ukipeleka mkakati wako wa uovu anaweza akakubali kukutumikia just tu ili apate purpose ya maisha yake ya ubaya.
Mfano.
  • Gru hakua na nguvu just roho ya uovu iliyo ndani mwake akakutana na Dr. Neferio nae ana roho ya uovu ila hana mikakati ya kutumia ujuzi wake kutenda uovu.. So alipokutana na Gru na kumueleza plan yake Dr ilikua rahisi kufall in na kua chini ya Gru... Ili aweze kuishi purpose yake ya uovu. Ndio maana Grue alipobadirika na kua Agent wa Anti Villain League Dr. Neferio alimkimbia kwa kudai kua Haoni ule uovu aliokuanao Gru mwanzo(Kwa waliotazama animation za Despicable Me)
  • Same applies to Megamind, Mega mind baada ya kumuua Metro man na kuushika mji alikosa purpose hivyo ikibidi atengeneza mtu atakayekuja kuchallange ubaya wake.
So mtu mwovu ni mwovu tu.. Siku zote hutafuta sehemu ya kutimiza uovu wake. Ndio maana maw itakua alikubali kama hakua adopted.
 
We jamaa ni expert🫡🫡
 
We jamaa ni expert🫡🫡
Mkuu wala hata sina maajabu it's juat when I'm interested in something nazama mazima. Napenda movie na series ndio my first entertainment.
I dare you to ask anything about Marvel movies
 
Nme download download movie ya hawa ina itwa IRON FIST ASEE GB zangu zime niuma sana
 
Nilipokuwa nawaambia hizi muvi ni takataka watu wakawa wanakuja na takwimu kwamba zinaongoza kuingiza mapene!! Yani unaangakia muvi kama game kutoka play store?
 
Ikiwa katika hatua ya 4 ya kufanya reshoot katika film ya CAPTAIN AMERICA: NwO. Mashabiki na wapenzi wa mcu wameonyesha kutopendezwa na tetesi za uwepo au utambulisho wa superhero mpya wa kiisrael anayeitwa SABRA. Hatua hii inaiweka movie hii katika dalili mbaya za kufanya vibaya sokoni pindi itakapoachiliwa rasmi.

Vipi maoni yako ndugu mdau?
images (3).jpeg
 
View attachment 3003583
Woke culture ndio kifo cha marvel.
 
Back
Top Bottom