Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What If ndio series pekee kutoka Marvel iliyopokelewa vizuri zaidi ikifuatiwa na LokiWhat if 2, episode ya Hella was one of my favourite.
Nadhan alimuadoptPengine sikuwa mfuatiliji makini wa movie za MCU lakini naomba kujua ilikuwaje Thanos amfanye jamaa huyu kuwa chawa wake maana mshkaji ananguvu kubwa ilikuwaje kuwaje??View attachment 2879098
Nadhan alimuadopt
Da'Vinci
Kwa mujibu wa comics thanos alimchukua akiwa bado mdogo akamlea like gamora and Nebula.Pengine sikuwa mfuatiliji makini wa movie za MCU lakini naomba kujua ilikuwaje Thanos amfanye jamaa huyu kuwa chawa wake maana mshkaji ananguvu kubwa ilikuwaje kuwaje??View attachment 2879098
Maw anaongea sana na Ile sauti yake ya kichungaji[emoji3]Pengine sikuwa mfuatiliji makini wa movie za MCU lakini naomba kujua ilikuwaje Thanos amfanye jamaa huyu kuwa chawa wake maana mshkaji ananguvu kubwa ilikuwaje kuwaje??View attachment 2879098
Muhuni uyu[emoji1][emoji1]Maw anaongea sana na Ile sauti yake ya kichungaji[emoji3]
We jamaa ni expert🫡🫡Kwa mujibu wa comics thanos alimchukua akiwa bado mdogo akamlea like gamora and Nebula.
Hata kama isingekua hivyo bado Thanos alikua ana uwezo wa kukutana nae na kumuelezea plan yake na Maw nadhani angekubali kua sidekick wake. Since once a villain always a villain, hata kama anakuzidi nguvu mtu mwenye roho mbaya ukipeleka mkakati wako wa uovu anaweza akakubali kukutumikia just tu ili apate purpose ya maisha yake ya ubaya.
Mfano.
So mtu mwovu ni mwovu tu.. Siku zote hutafuta sehemu ya kutimiza uovu wake. Ndio maana maw itakua alikubali kama hakua adopted.
- Gru hakua na nguvu just roho ya uovu iliyo ndani mwake akakutana na Dr. Neferio nae ana roho ya uovu ila hana mikakati ya kutumia ujuzi wake kutenda uovu.. So alipokutana na Gru na kumueleza plan yake Dr ilikua rahisi kufall in na kua chini ya Gru... Ili aweze kuishi purpose yake ya uovu. Ndio maana Grue alipobadirika na kua Agent wa Anti Villain League Dr. Neferio alimkimbia kwa kudai kua Haoni ule uovu aliokuanao Gru mwanzo(Kwa waliotazama animation za Despicable Me)
- Same applies to Megamind, Mega mind baada ya kumuua Metro man na kuushika mji alikosa purpose hivyo ikibidi atengeneza mtu atakayekuja kuchallange ubaya wake.
Humu hamna kitu aseeMarvel is dead😂😂
View attachment 2943801
Bado naimani hawajachelewa kujirekebisha. DC under James Gunn inakuja kasi sana.Marvel is dead😂😂
View attachment 2943801
Marvel is dead😂😂
View attachment 2943801
Nilipokuwa nawaambia hizi muvi ni takataka watu wakawa wanakuja na takwimu kwamba zinaongoza kuingiza mapene!! Yani unaangakia muvi kama game kutoka play store?Nme download download movie ya hawa ina itwa IRON FIST ASEE GB zangu zime niuma sana
Woke culture ndio kifo cha marvel.Ikiwa katika hatua ya 4 ya kufanya reshoot katika film ya CAPTAIN AMERICA: NwO. Mashabiki na wapenzi wa mcu wameonyesha kutopendezwa na tetesi za uwepo au utambulisho wa superhero mpya wa kiisrael anayeitwa SABRA. Hatua hii inaiweka movie hii katika dalili mbaya za kufanya vibaya sokoni pindi itakapoachiliwa rasmi.
Vipi maoni yako ndugu mdau?
View attachment 3003583