Ukanda wetu wa bahari,njia zetu kuu za usafirishaji,anga letu hivi vitu vinahusikaje na biashara ya kushusha kontena?Labda wewe huwasikikizi vizuri..
Shivji anataka serikali iendeshe Bandari...
Pengo kauliza kwanini hatuwezi endesha wenyewe Bandari...
Tibaijuka kasema Dubai ni mpinzani wetu wa blah blah gani sijui..
Mwambukusi kasema Bandari ni mpaka hatuwezi wapa wawekezaji mpaka....the list goes on...
Sikiliza vizuri uwaelewe...
Sio wote wanaosema vipengele virekebishwe..
Hao wanashangilia hapo ni watu au mazombie?? Nan anaweza kumhonga Butiku? Wanao pigia debe DP na wanaopinga, Nani Kahongwa kati ya hao?? Jibu wanaopigia debe wamehongwa. Wanaopinga ni wazalendo.Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
MUNGU mwema naona hata sifi leo nae kaongea ya maanaJamaa ameongoka sasa, jana alitoa hoja nzuri sana
Awambie watanzania ana maana gani na neno " ajabu" ili tuweze kujua kinachomsumbua kwa yaliyosemwa na Mh. Mzee.Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Katika viongozi na wasomi waliozungumza kuhusu hili suala ni nani anapinga kabisa uwekezaji? Hata Slaa anaanza kwa kusema kuwa hana tatizo na uwekezaji. Chadema kama chama cha mlengo wa kulia kitapingaje uwekezaji? Ni jitihada tu za kukwepa kujibu hoja na kuwapaka wenzake matope.Wewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..
Kama hakuiona? Kama haikuwa na matatizo? Na ilikuwa lazima aihoji? Na Kama hakuioji ndiyo na hii ya DPW asihoji?Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Kwa pimbi kama huyo Mary Chatanda kumtuhumu Butiku asiye na uchafu wowote kimasilahi, inaonyesha chama kinaenda kaburini.CHAMA KINAELEKEA ICU sasa ni Mwenda wa kutapatapa tu.
Cha msingi likiabuka la kuibuka I've kufahamika wazi mbeleni aliyesababisha hilo nanimkataba umeshapita mtaendelea kubwabwaja tu humu na ninyi ni wachache sana, kilichbaki ni kazi kuendelea
Mary Chatanda Soma mkataba ukiuelewa uzungumze na Watanganyika .Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Watakula wapi? 10% itapelekwa wapi?Hivyo vipengele vinavyopigiwa kelele si wavirekebishe
Ova
Wakuburuzwa tuNyie mnataka watanzania wa aina gani kwenye masuala ya taifa lao?
1. Ambao; mkileta jambo lolote wasihoji.
2. Ambao; wakiona mwizi wabaki kuangalia tu.
3. Ambao; wakati wa uchaguzi waje wachague kivuli kwenye ballot [emoji2792].
4. Ambao; umeshika jiwe na unapiga kelele ukisema huu mkate nimpe nani mwenye njaa.
Jibu tujue; 1,2,3 au 4.
Mnataka watanzania wa aina gani yaani, wasihoji lolote?