leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Mkat
Ukanda wetu wa bahari,njia zetu kuu za usafirishaji,anga letu hivi vitu vinahusikaje na biashara ya kushusha kontena?Labda wewe huwasikikizi vizuri..
Shivji anataka serikali iendeshe Bandari...
Pengo kauliza kwanini hatuwezi endesha wenyewe Bandari...
Tibaijuka kasema Dubai ni mpinzani wetu wa blah blah gani sijui..
Mwambukusi kasema Bandari ni mpaka hatuwezi wapa wawekezaji mpaka....the list goes on...
Sikiliza vizuri uwaelewe...
Sio wote wanaosema vipengele virekebishwe..