Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

We maria wewe, unataka laana - wakati hawa wazee wanapigania uhuru wa nchi yetu toka kwa mwingeleza na TAA then TANU yao wewe ulikuwa unanyonya.
Wazee hawa ni lazima waheshimiwe, DP World ni mkataba wa kihuni.
 
Mary Chatanda ni pure STANDARD SEVEN LEAVER, anajua kusoma na kuandika tu. Sina uhakika kama anajua kuhesabu. Hawa standard seven wanacho jua kwenye siasa ni kubebwa ndio maana anajua kwa kusema hivi mkubwa ataendelea kumbeba.
KATIBA MPYA iweke wazi ni marufuku standard seven kugombea ubunge wala udiwani.
 
Hivyo vipengele kila kukicha vinatolewa ufafanuzi tena na wanasheria wabobezi. Hao wazee ni sehemu ya njama mbaya ya kukwamisha biashara nzima kwa kigezo cha fikra zao za kizalendo.

Mkataba umefafanuliwa tena kwa kirefu katika vituo vya runinga, kwenye makongomano tena kwa kina lakini nguvu iliyo nyuma ya wanaopinga uwekezaji wakiwemo wazee wastaafu ndio inayoshangaza na kuacha watu midomo wazi.

Hapo TPA kuna wapigaji wanaotajirika kwa aina mbovu ya uendeshaji ni sawa na pale uwanja wa Taifa siku za mechi badala ya kufungua milango saa nne asubuhi ili watu waingie kwa kujinafasi wao wanafungua saa nane mchana ili patokee na purukushani na waingiaji wapate sababu ya kutoa rushwa!, matokeo yake akafa shabiki mechi ya fainali ya Yanga vs USM Algiers.

Usitegemee watu waliozoea kupata pesa nyingi za bure bure wakaunga mkono uwekezaji wa DPW wanajua ndio mwisho wa ushenzi wao pale bandarini.
 
UTANZANIA ni kuhoji....

Nani ameushika "ulimi" wako USIHOJI?
Wewe ni mwenye nchi una haki ya kuhoji.
Nasi pia ni wenye nchi tuna haki ya kujibu MASWALI.....
Kwa nini unafuata mkumbo kwa kuwalaumu wazee, je wao hawana haki kuongea wala kuhoji?.
 
Kwa hiyo wewe unasema Watanzania hatuwezi kuendesha bandari, hatuna uwezo wa kujifunza na kama ni hivyo je utawala wa nchi tunauweza? Kwa nini tuanze na bandari?
 
Chatanda atakuwa ana shida ya afya ya akili si bure
 
Yaani hii suala la kuhongwa ndio linaonyesha mkataba unachembechembe za rushwa 😂😂😂....

Ina maana kuna umate mate upo chini au juu ya mkataba hasa kwanwalioangusha wino😂😂😂.

Yaan hili suala kila anayelijibu kwa haraka haraka anatoa viashiria vya ushahidi wa mbeleni huko😂😂😂😂😂😂
 
Naona aibu kuwa CCM na watu wapuuzi kama hawa kina Mary Chatanda!
Hivi Joseph Butiku utalinganisha na Hawa vikaragosi!
Jina tu " Chatanda", Hawa vyeo wamepata kwa kugaragazwa vitandani tu!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HHa
Butiku hayuko sahihi kwenye kitu gani?!
Wewe ndo unaongea kwa hisia bila facts!
Butiku kaongea kwamba Wananchi wana hofu na hawakushirikishwa! Sasa wewe unasema nini?
 

Sisi na Samia.
 
Midomo ya hawa CCM imegeuka mabomba yanayomwaga majitaka yaliyovutwa kwenye vyoo vilivyojaa.

Ingewafaa waelekee baharini kumwaga huo uchafu kuliko kutumwagia sisi waajiri wao.
 
Wewe Kingereza unakijulia wapi wewe mzee wa mochwari. Wewe tungoje tufe uje kutung'oa viungo ukauzie wachawi wenzio.

Mkataba wa nchi ipi na ipi?
Mkafungulie hayo mabomba ya majitaka baharini. Mnachafua mazingira ya binadamu na mnasambaza harufu mbaya.
 
Matumbo, ufanya watu wakose adabu Kwa wazee wetu,vitu vingine ni matumbo tu ,we ulitegemea kitenge amfundishe Sheria prof shivji si maajabu ya njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…