Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mary Chatanda ni pure STANDARD SEVEN LEAVER, anajua kusoma na kuandika tu. Sina uhakika kama anajua kuhesabu. Hawa standard seven wanacho jua kwenye siasa ni kubebwa ndio maana anajua kwa kusema hivi mkubwa ataendelea kumbeba.Unamdogosha komredi Mary Chatanda?!!!
CCM ni imani....kwani komredi Butiku ni muumini pekee wa imani nzito ya CCM kutushinda wote tuliopikwa humo ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hivi shule tunakwenda kusomea uliberali wa kusuka nywele watoto wa kiume?!![emoji1787]
Wamisri wamekodisha au wamepewa tenda ya ujenzi?Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Hivyo vipengele kila kukicha vinatolewa ufafanuzi tena na wanasheria wabobezi. Hao wazee ni sehemu ya njama mbaya ya kukwamisha biashara nzima kwa kigezo cha fikra zao za kizalendo.Sijui kuna shida gani
Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja
Wapiga debe tupu muelewe hilo
Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
Kwa nini unafuata mkumbo kwa kuwalaumu wazee, je wao hawana haki kuongea wala kuhoji?.UTANZANIA ni kuhoji....
Nani ameushika "ulimi" wako USIHOJI?
Wewe ni mwenye nchi una haki ya kuhoji.
Nasi pia ni wenye nchi tuna haki ya kujibu MASWALI.....
Kwa hiyo wewe unasema Watanzania hatuwezi kuendesha bandari, hatuna uwezo wa kujifunza na kama ni hivyo je utawala wa nchi tunauweza? Kwa nini tuanze na bandari?Labda wewe huwasikikizi vizuri..
Shivji anataka serikali iendeshe Bandari...
Pengo kauliza kwanini hatuwezi endesha wenyewe Bandari...
Tibaijuka kasema Dubai ni mpinzani wetu wa blah blah gani sijui..
Mwambukusi kasema Bandari ni mpaka hatuwezi wapa wawekezaji mpaka....the list goes on...
Sikiliza vizuri uwaelewe...
Sio wote wanaosema vipengele virekebishwe..
Chatanda atakuwa ana shida ya afya ya akili si bureMjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.

Butiku hayuko sahihi kwenye kitu gani?!Kila mtu anastahili heshima ya KUTAMBULIWA na kuthaminiwa utu wake....
Kwa hili la bandari ,komredi Butiku hayuko sahihi....anaendeshwa sana na HISIA kuliko UHALISIA.....
Miongoni mwa sifa za "think tanks" ni kurejea UHALISIA katika kuyalinda maslahi mapana ya nchi....
Dunia imebadilika...
#MamaAnaupigaMwingi[emoji120
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Wewe Kingereza unakijulia wapi wewe mzee wa mochwari. Wewe tungoje tufe uje kutung'oa viungo ukauzie wachawi wenzio.Sent using Jamii Forums mobile app
Midomo ya hawa CCM imegeuka mabomba yanayomwaga majitaka yaliyovutwa kwenye vyoo vilivyojaa.Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
- Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?
- Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa
===
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Mkafungulie hayo mabomba ya majitaka baharini. Mnachafua mazingira ya binadamu na mnasambaza harufu mbaya.Wewe Kingereza unakijulia wapi wewe mzee wa mochwari. Wewe tungoje tufe uje kutung'oa viungo ukauzie wachawi wenzio.
Mkataba wa nchi ipi na ipi?
Matumbo, ufanya watu wakose adabu Kwa wazee wetu,vitu vingine ni matumbo tu ,we ulitegemea kitenge amfundishe Sheria prof shivji si maajabu ya njaaMjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.