Tunaomba huo wito uende kwa wanawake pia, kutopokea zawadi kwa mwanaume usiyempenda au ambaye haumtaki, hii ya kusema eti hata kama amekula hela zako hiyo fairness haipo, ukitaka kula lazima na wewe uliweBaada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Dahh na kweli!We Acha tu unaweza ukachagua wisely na bado daraja la upendo likavunjika vilevile
Wakati wa kulipiwa ada hujui kama kaoa ukimaliza tu shule unagundua.Mmesoma mada??
Yeye kasema alivyogindua kaoa akamkataa,sijaona kosa la bi dada.
Wanaume wa humu huwa na shida gani sijui! Badala ya kujadili kilichowekwa mezani wao ni mihemko tu!Mmesoma mada??
Yeye kasema alivyogindua kaoa akamkataa,sijaona kosa la bi dada.
Nasikiliza nyimbo ya Rascal Flatts tu What hurts the most hapa 😒Dahh na kweli!
Pole sana mkuu, kuna jambo limekukuta pia? Mie naangalia documentary ya TAL natoa machozi tu hapa!Nasikiliza nyimbo ya Rascal Flatts tu What hurts the most hapa 😒
Nimeamza kuiangalia pia lakini utulivu hapa kwa sasa umepotea namuona Mwabukusi mke wa Lissu piaPole sana mkuu, kuna jambo limekukuta pia? Mie naangalia documentary ya TAL natoa machozi tu hapa!
Eee ng'holo ile sata lakini ligubeta nalyo ele 🥺Pole sana mkuu, kuna jambo limekukuta pia? Mie naangalia documentary ya TAL natoa machozi tu hapa!
Wanakurupuka sana,maana wakiona mada inahusu mwanamke,wanajibu kimihemko tu.Wanaume wa humu huwa na shida gani sijui! Badala ha kujadili kilichowekwa mezani wao ni mihemko tu!
Yeah mkewe anaongea kwa uchungu sana! Ukitulia iangalie vizuri..Nimeamza kuiangalia pia lakini utulivu hapa kwa sasa umepotea namuona Mwabukusi mke wa Lissu pia
Sasa hii umeingia deep sana, kuna vocabulary ni ngumu😂 ligubeta eke lulu?Eee ng'holo ile sata lakini ligubeta nalyo ele 🥺
Kuna mada nyingi tu inaandikwa hivi wanajibu vile! Utadhani wameshikiwa panga kuwahudumia hao wanawake wao!Wanakurupuka sana,maana wakiona mada inahusu mwanamke,wanajibu kimihemko tu.
🤣🤣🤣Sasa hii umeingia deep sana, kuna vocabulary ni ngumu😂 ligubeta eke lulu?
Seran , Mchakato ni funzo ndo maana tumehemka. Tindikali ikishamwagwa imemwagwa hairekebishiki lakini mchakato uliopelekea tindikali kumwagwa unaweza rekebishika kwa wengine.Wanaume wa humu huwa na shida gani sijui! Badala ha kujadili kilichowekwa mezani wao ni mihemko tu!
Unadhani tumekurupuka? No, Binafsi nimehemka ndio, sababu na mimi nina mabinti.Wanakurupuka sana,maana wakiona mada inahusu mwanamke,wanajibu kimihemko tu.
Tatizo linaanzia hapa kwenye kuweza kupata pesa zingine, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine”
Naunga mkono hoja.Tatizo linaanzia hapa
Mwanaume ndio alitakiwa achange karata zake vizuri. Unajua umeaoa halafu unaenda kumsomesha binti mwingine, hujiulizi tu kuwa binti akishamaliza akawa na uhitaji wa kuwa na familia yake we msomeshaji utawekwa upande gani??Whatever the case.
Je nikuulize jambo?
Unaweza kufungua biashara ili upate hasara
Kama jibu ni hapana.
Basi jua mabaya yote amefanya huyo mwamba ni sababu ya uwekezaji amefanya.
Swali jingine angekua hajamsomesha au kutumia gharama hizo unadhani angepata guts za kufanya alichofanya jibu ni No, ila sisemi hivi ku support ukatili amefanya kwasababu watu weak ndio hufanya mambo ya kipuuzi kama hayo.
Natumai umenielewa
Asande.
Tulezuga wawa 😅
Mwanaume anajua anachotaka, anajua kwanini anatoa pesa. Iwe kwa nia njema au ovu anajua yeye, Mwanamke ndo anayezila hizo pesa, yeye ndo alitakiwa achange karata zake vizuri. Unakula tu hujui unakula nini? Hujui nia ya anayekulisha? Ukilishwa na jini mnyonya damu?Mwanaume ndio alitakiwa achange karata zake vizuri. Unajua umeaoa halafu unaenda kumsomesha binti mwingine, hujiulizi tu kuwa binti akishamaliza akawa na uhitaji wa kuwa na familia yake we msomeshaji utawekwa upande gani??
Hii ni ujinga mnatetea.