Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

Naenda kama winga teleza Uyole ya kati. Huyo jamaa apewe tuzo. Kama humpendi mwanaume usile pesa zake ulimpatia account No: ya nini? Na alipo deposit pesa kwanini hukumrejeshea hizo pesa immediately kuashiria humtaki? Na hautaki mazoea nae? Kitendo cha wewe kukaa kimya nakuendelea kula hizo pesa ndio matunda uliyo vuna. Relax wewe ndio umetolewa kuwa mfano kwa wengine. ๐Ÿ™๐Ÿฅ‚
 
Eti pesa atapata nyingine!!!

Kupata pesa kumbe ni jambo rahisi kiasi hicho !?

Why asinge tafuta za kwake !?

Si- support huo unyama aliofanyiwa lakini huo utetezi aliochagua kuutumia huyo victim ni utetezi wa kibwege

Yeye akubali tu kwamba Alifanya mistake basi yatosha Aombe Sheria ichukue mkondo wake
 
Kama mwanaume ukishaingia na Binti wa watu katika mahusiano Kwa nguvu ya ushawishi wa pesa jiandae kufikwa na kilio siku Moja

Mapenzi ya kweli Huwa hayahitaji nguvu
 
Anarahisisha sana maisha.

Eti atapata zingine.

Ye mbona kashindwa kuzipata mpaka kala za watu?

Tamaa tu na kutaka kuishi maisha ya kuigiza yasiyo yako.
๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ