GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanawake hawafai kuwa viongozi mtakuja kujuta
 
Mary Nagu hazeeki jamani. Nimeanza kumsikia RFA miaka ya tisini nikiwa shule ya msingi mpaka leo kaibuka tena. Au alipata madaraka akiwa na miaka 20 naa!
 
Mary Nagu hazeeki jamani. Nimeanza kumsikia RFA miaka ya tisini nikiwa shule ya msingi mpaka leo kaibuka tena. Au alipata madaraka akiwa na miaka 20 naa!
hajawahi ajiriwa RFA umemfananisha
 
vijana 1800 wameajiriwa tra, 3000 wako jwtz, 2000 wako police, 12000 manesi na madaktari, wachieni vijana wakomavu watoe mchango, morani bila ngariba haliwezi kuwa jando
Yaani hao unaona weeengi!!!
 
Ajira hapo anawatafutia vitukuu vyake pesa, alisha kamilisha ya watoto wake na wajukuu zake,
Mi pia nilitaka kuchukua fomu ila nikiangalia sura yangu kwenye kioo nimeshakuwa kama nalia,wacha tu niwaachie young generation...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…