Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usingiz unauma[emoji3][emoji3]
 
Wewe ni roll model wangu. Silei watoto kama mayai. Mwanangu huwa anawasimulia wenzake kipigo anachokutana nacho.
 
Aiseee nimekulia kwenye Hilo jicho !bi mkubwa wangu akikukata Hilo moja tu anakua kakueleza kila kitu!usiombe ndio ujichetue mbele ya mgeni au uende ugenini ujitie una maruhani ni jicho moja tu unafyata!Kweli it's a lost art wazazi wa sasa hawana hii art
 
ha haaaaa
 
Watoto wana akili sana, mimi kuna watu nimewapa hifadhi kwa muda, sasa wana mtoto wao wa kike ana miaka 6, na mimi nna wa kike ana miaka 7. Niko friendly sana kwa mwanangu ila ni mkali likija suala la ujinga ujinga sitak sema nwanangu ni easy kuiga ujinga wa wengine.
Mwanzo walipokuja nilikuwa nakereka na huyo mtoto anadekezwa kiasi kwamba ana miaka 6 ila usku anavishwa dipers asikojoe kitandani ila wakiwa hawapo hakojoi.
Akisema leo siendi shule wanamwacha.
Katoto kakawa kananisumbua sana kiasi kwamba weekend nikiwa home naona hadi kero.
Siku moja nimetoka nimerudi nikaambiwa kuwa kaliingia chumbani kwangu mchana akakaa kitandan akakojoa.
We siku hiyo ndipo waliona rangi yangu halisi, nilikachukua mbele ya macho yao nikakaingiza chumbani nikakatia bakora za kutosha.
Toka siku hiyo kamekaa kwenye mstari hakaleti ujinga nikiwepo ujinga kanawaletea wao tu.
Mwanangu naye alikuwa ashaanza kuiga ujinga anaongea kama ana maji mdomoni kama kenyewe, nilimwambia nitambutua na huo ujinga wake na ananijua vzuri.
 
All I got from this post ni dharau na kujiona Upo kwenye class tofauti sana na Dada yako kiasi cha kupaita Jehanum!

Ujinga na Ulimbukeni
Rudia kusoma tena, huyo jamaa alivyoandika inaonyesha kabisa maisha ya dada yake ni mazuri kabisa (probably zaidi ya maisha yake yeye), sema yupo concerned na malezi ya wapwa zake, of which it is true kwa mjibu wa aliyoyaandika!
 
Aisee!,malezi ya hovyo ni msiba...Nilienda kusalimia nyumbani kwa braza,nimefika sebuleni tu dogo wao wa kike anatoka shule hukoo ananikuta nimetulia naperuzi simu,hata salamu hajatoa yy kaanza tu kunirukia,mwanzoni nilijua tu ni furaha ya mtt akiona mgeni lazima alete mbwembwe za kumrukia rukia mgeni kwa furaha,muda ulivyozidi kwenda ikawa ni kero Sasa,Mana akaanza upuuzi wa kunivuta shati,Mara anirushie viatu vyake vya shule nikamvumilia tu,uvumilivu ukanishinda baada ya kunidandia mgongoni eti kanasema "ba mdogo punda,punda",nilichofanya nikamtoa mgongoni nikamvuta kwa mbele nikamtandika Kofi Kali la mgongo Kama alilokuwa akitupiga mzee na braza enzi hizo,nikamuacha hapo hapo chini haamini kilichompata,akanyamaza Kama sekunde tu huku Kama anasikilizia ukali wa Kofi,ganzi ya Kofi ilipoisha Mara akaanza kulia kilio kikali,akachukua viatu na begi anaondoka huku analia,mama yake anamuuliza "unalia Nini?",mtoto anasema "nimepigwa na Esther shuleni" huku kwa mbali akiniangalia mm...UJINGA WA MARUDIO HUWA SIUTAKAGI...
 
Dah... Mama Rashidi katisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…