Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Ukisikia fake life ndio hiyo ...kesho kanajitangaza kashoga au kasagaji na wazazi wanasema ni genetic kenge kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahh😂😂Yani mijuniooo ni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huwezi kukurupuka kuchukua hatua kwa mtoto au familia isiyokuhusu!
Nilifanya hivyo sababu nawajua vyema na wananijua vyema kifupi nawamudu!!
Hata hivyo kabla ya kuchukua hatua nilishauliza mbona analialia sana? Wakajibu anadeka, nikawaambia wazi ngoja nimnyooshe kidogo apunguze ujinga!!
Alipokosea mtoto kujichanganya kwangu na kilio bila kujua plan iliyopo!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipendi watoto watundu watundu, kuna siku nipo hosp. Kuna mtoto kama miaka 6 hivi akaja kavamia Mkoba anataka kuufungua nikamshika mkono kwa upole, nikauminya ule mkono huku namwongelesha nikimkazia macho, “Unaitwa nani? Ninachapaaaaa! Kakae pale utulie, nilimminya kweli kweli na hakurudi tena kwangu.
Subiri ukikua utaelewa kwa sasa hata nikueleza huwezi elewaUlipoandika "Sister" nikafikiri ni wale masister wa kikatoliki.Acha ushamba,Dada huwa anaitwa Sis
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Sitasahau nilipigwa na charger kichwani fasta fasta km mara 3 hv pa paa paaa nakuja shtuka kameinua mkono kanataka weka chuma cha nne iliuma vbaya mno ila sikuwa na cha kufanya ni mtoto wa rafiki yng aliniomba wafikie kwangu kuna mkoa walikuwa wanaenda ah..kile kitoto ni cha kike ila mishemishe zake acheni tu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole sana mkuuSitasahau nilipigwa na charger kichwani fasta fasta kama mara 3 hivi pa paa paaa nakuja shtuka kameinua mkono kanataka weka chuma cha nne iliuma vibaya mno ila sikuwa na cha kufanya ni mtoto wa rafiki yangu aliniomba wafikie kwangu kuna mkoa walikuwa wanaenda ah.. kile kitoto ni cha kike ila mishemishe zake acheni tu
Sipendi watoto watundu watundu, kuna siku nipo hosp. Kuna mtoto kama miaka 6 hivi akaja kavamia Mkoba anataka kuufungua nikamshika mkono kwa upole, nikauminya ule mkono huku namwongelesha nikimkazia macho, “Unaitwa nani? Ninachapaaaaa! Kakae pale utulie, nilimminya kweli kweli na hakurudi tena kwangu.
We acha tu ndg[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole sana mkuu