Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lako limesadifu mkuu [emoji28]Mkuu umenikumbusha miaka ya 90 ,nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilinza alipoanza kunyweshwa uji.
Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni. anatema mate kwenye kiganja chake ,kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu
Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi
Kwahiyo baba mkubwaa ukafika na kucharaza watu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]safii sanaNilikuwa safari nikapita kwa kaka mdogo kumsabahi, nilimkuta na familia yake yote yaan yeye, mkewe na mwanae.
Huyo mtoto ni anafujo utasema mji mzima umehamia humo ndani, kulia lia usipime!!
Akajipendekeza anga zangu, anataka maji huko akaja kulilia kwangu, nikamnyazisha kwa ukali! Nikamuuliza maji yako wapi? Huwezi kuyafikia? Kuna ulazima gani kulia?
Nikatoka nje, nikarudi na bakora! Alichezea viboko mbele ya baba na mama yake! Baada ya hapo nyumba ikawa kimyaaa!
Na hata nilipoondoka naambiwa kabadilika sana kulia hovyo hovyo ameacha na ana akili za kujiongeza sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jmn uwiiiiiiiiiiiiiiMkuu umenikumbusha miaka ya 90 ,nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilinza alipoanza kunyweshwa uji.
Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni. anatema mate kwenye kiganja chake ,kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu
Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
Malezi ya hivyo hatari sana.Ni ugenini mkuu unapaswa kuficha uhalisia wako.
Imagine linakuja unazungumza linakupiga kofi la mdomo kwa kukushitukiza na linaambiwa " We Ivan jamani mbona hivyo" linaanza kulia kisa limeambiwa hivyo 😟
Bora umshauri kuhusu malezi kukaa kimya sikumoja pia yatakuhusu kumbuka ni wajomba hao.Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5
Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambia siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito
Sister ana watoto wawili mmoja miaka 6 na mwingine 4. Tulianza kupata changamoto mapema sana baada ya kutia tu mguu pale home. Watoto wake wanalilia simu. Nikawa nawaza hii iPhone yangu nimpe mtoto achezee kweli?
Basi yule wa miaka minne akawa analia balaa anajirusha huko na kule akitaka apewe simu acheze game. Sister anacheka tu na kusema "We Junior usimsumbue Uncle bwana, basi chukua hii yangu huku ana mpeti peti" wallah nilikuwa napatwa na hasira sana.
Akaendelea kusema simu zao mle ndani zote zimeshapasuliwa vioo mara kadhaa sababu ya watoto kugombania. Wakati huo tena yule mtoto anamvuta mke wangu nywele nyuma ya kiti.
Sister anasema tu "We xxx mwache Aunt nitakuwa sikupi game ucheze" Yule Mtoto kuambiwa vile aliangua kilio kikubwa sana. Nikahisi wife uzalendo ulimshinda akamwasha kibao. Kumbe sivyo. Alikasirika sababu ya kuambiwa atanyimwa game.
Sister akawa anambembeleza wakati huo yule mwingine ametokea chumbani kwa Wazazi wake kavaa chupi ya sister kichwani. Mbaya zaidi kaja kwangu nimwone eti kavaa mask nimeshika hivi ni chupi astaghafilulah nikaachia kama mtu aliyeshika moto. Ndo Baba yake akaja iokota na kuipeleka tena room akisema wewe xxx acha michezo hiyo kwa uncle.
Tumeenda kula mezani yule mdogo kaanza tu kulia. Analia wanamuuliza nini anasema hataki maziwa anataka chocolate nikajiuliza hili si lilikuwa suala la kusema tu why alie?
Huyu mkubwa amesusa kula akaanza bembelezwa akabembelezwa sana mwishowe akaitwa Dada amlishe mtoto wa miaka 6 analishwa? Tumerudi kukaa sitting room taabu zinaendelea wanakuja kunidandia mwilini wakitaka niwabebe,wakitaka tukacheze mpira,wakitaka tuimbe.
Muda huo wote sijaweza hata kukaa vizuri kuongea na wenyeji wangu. Wao wanacheka tu na kufurahi kiukweli Mtoto wangu akawa kama amepigwa na butwaa hivi anashangaa sana.
Wakaambiwa wakacheze kwenye bembea. Dada akaitwa akawasukume.wangu alienda ndani ya dk 10 akarudi hataki kwenda tena.nadhani walimghasi na vile hajazoea shida na ugomvi.
Akina uncles wakarudi wanalia mmoja anadai kaangushwa na mwenzie na mwenzie anadai amegongwa.wakiwa wanabishana mmoja alimrushia remote control mwenzie ikamkosa.sister akawa mkali akisema "wewe junior kesho hupandi gari yangu.utapanda ya baba" hii ndo adhabu yake eti.
Mpaka mchana nlikuwa nmeshachoka sana kukaa pale.tunakula mezani yule jr akaanza kulia.wanamuuliza jun unalia nini anasema usingizi unamuuma.nilishangaa sana kumbe hata usingizi una maumivu.ikabidi achukuliwe akalazwe.na mwenzie naye akawa ameinama kwenye meza kalala anaulizwa naye anasema usingizi akabebwa akalazwe.huo ni mchana.
Mpaka jioni nilishachoka kabisa na sikuwa na hamu, mke wangu alikuwa ametulia kimya na mtoto wangu amejituliza pembeni yangu.kiunyonge akitaka tuondoke.
Jumapili tumekaa sebuleni mara Mtoto wangu wa miaka 4.5 akaanza kulia nikamuuliza kulikoni tena? Akanijibu usingizi.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]kama Mama yake asingeniwahi nadhani tungekuwa tumempeleka hospital amelazwa mashavu yamepasuka. Nlianza ona emeingiwa na pepo.
Nlikuja muuliza toka lini usingizi umekuwa ugonjwa kwake au maumivu? Nilimuuliza siku zote hufanyaje akajibu huenda chumbani akapanda kitandani akalala. Then swali langu likawa leo amepatwa na nini? Akaomba msamaha. Sorry Daddy!
Nikashusha pumzi. Nika rewind matukio yooooote ya jumamosi kwa sister it was like a little hell. Na mtoto wangu alitaka eti aige that life.Nikashangaa wenzangu wanaleaje Watoto nami nakosea wapi?
Well, watoto wangu tunacheza, tunataniana, tunaimba n.k but kwa wakati. Na hawashiki simu yangu kuchezea nakaa mpaka mwezi sisikii wanalia. mmfano huyu wa miaka 6 anaanzaje kulia? Huyu wa miaka 4 anaweza ongea why alie?
Siwezi enda kwa sister tena, na hata home simwaliki kuja na watoto wake. acha tuwe tunaonana juu kwa juu. Sitaki tuje kutafutiana lawama baadaye. Sitaki undugu lawama. Kama ameamua kufuga tushetani akae nato peke yake.sitaki kabisa.
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5
Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito.
Sister ana watoto wawili, mmoja miaka 6 na mwingine 4. Tulianza kupata changamoto mapema sana baada ya kutia tu mguu pale home. Watoto wake wanalilia simu. Nikawa nawaza hii iPhone yangu nimpe mtoto achezee kweli?
Basi yule wa miaka minne akawa analia balaa anajirusha huko na kule akitaka apewe simu acheze game. Sister anacheka tu na kusema "We Junior usimsumbue Uncle bwana, basi chukua hii yangu huku ana mpeti peti" wallah nilikuwa napatwa na hasira sana.
Akaendelea kusema simu zao mle ndani zote zimeshapasuliwa vioo mara kadhaa sababu ya watoto kugombania. Wakati huo tena yule mtoto anamvuta mke wangu nywele nyuma ya kiti.
Sister anasema tu "We xxx mwache Aunt nitakuwa sikupi game ucheze" Yule Mtoto kuambiwa vile aliangua kilio kikubwa sana. Nikahisi wife uzalendo ulimshinda akamwasha kibao. Kumbe sivyo. Alikasirika sababu ya kuambiwa atanyimwa game.
Sister akawa anambembeleza wakati huo yule mwingine ametokea chumbani kwa Wazazi wake kavaa chupi ya sister kichwani. Mbaya zaidi kaja kwangu nimwone eti kavaa mask nimeshika hivi ni chupi astaghafilulah nikaachia kama mtu aliyeshika moto. Ndio Baba yake akaja iokota na kuipeleka tena room akisema wewe xxx acha michezo hiyo kwa uncle.
Tumeenda kula mezani yule mdogo kaanza tu kulia. Analia wanamuuliza nini anasema hataki maziwa anataka chocolate nikajiuliza hili si lilikuwa suala la kusema tu why alie?
Huyu mkubwa amesusa kula akaanza bembelezwa, akabembelezwa sana mwishowe akaitwa Dada amlishe mtoto wa miaka 6 analishwa? Tumerudi kukaa sitting room taabu zinaendelea wanakuja kunidandia mwilini wakitaka niwabebe, wakitaka tukacheze mpira, wakitaka tuimbe.
Muda huo wote sijaweza hata kukaa vizuri kuongea na wenyeji wangu. Wao wanacheka tu na kufurahi kiukweli Mtoto wangu akawa kama amepigwa na butwaa hivi anashangaa sana.
Wakaambiwa wakacheze kwenye bembea. Dada akaitwa akawasukume, wangu alienda ndani ya dk 10 akarudi hataki kwenda tena. Nadhani walimghasi na vile hajazoea shida na ugomvi.
Akina uncles wakarudi wanalia mmoja anadai kaangushwa na mwenzie na mwenzie anadai amegongwa, wakiwa wanabishana mmoja alimrushia remote control mwenzie ikamkosa. Sister akawa mkali akisema "wewe junior kesho hupandi gari yangu, utapanda ya baba" hii ndo adhabu yake eti.
Mpaka mchana nilikuwa nmeshachoka sana kukaa pale. Tunakula mezani yule jr akaanza kulia, wanamuuliza jun unalia nini anasema usingizi unamuuma, nilishangaa sana kumbe hata usingizi una maumivu, ikabidi achukuliwe akalazwe na mwenzie naye akawa ameinama kwenye meza kalala anaulizwa naye anasema usingizi akabebwa akalazwe, huo ni mchana.
Mpaka jioni nilishachoka kabisa na sikuwa na hamu, mke wangu alikuwa ametulia kimya na mtoto wangu amejituliza pembeni yangu, kiunyonge akitaka tuondoke.
Jumapili tumekaa sebuleni mara Mtoto wangu wa miaka 4.5 akaanza kulia nikamuuliza kulikoni tena? Akanijibu usingizi.😡😡😡😡😡kama Mama yake asingeniwahi nadhani tungekuwa tumempeleka hospital amelazwa mashavu yamepasuka. Nlianza ona emeingiwa na pepo.
Nlikuja muuliza toka lini usingizi umekuwa ugonjwa kwake au maumivu? Nilimuuliza siku zote hufanyaje akajibu huenda chumbani akapanda kitandani akalala. Then swali langu likawa leo amepatwa na nini? Akaomba msamaha. Sorry Daddy!
Nikashusha pumzi. Nika rewind matukio yooooote ya Jumamosi kwa sister it was like a little hell. Na mtoto wangu alitaka eti aige that life. Nikashangaa wenzangu wanaleaje Watoto, nami nakosea wapi?
Well, watoto wangu tunacheza, tunataniana, tunaimba n.k but kwa wakati. Na hawashiki simu yangu kuchezea nakaa mpaka mwezi sisikii wanalia. Mfano huyu wa miaka 6 anaanzaje kulia? Huyu wa miaka 4 anaweza ongea why alie?
Siwezi enda kwa sister tena na hata home simwaliki kuja na watoto wake. Acha tuwe tunaonana juu kwa juu. Sitaki tuje kutafutiana lawama baadaye. Sitaki undugu lawama. Kama ameamua kufuga tushetani akae nato peke yake. Sitaki kabisa.
Khantwe hilo cheko lako linatufokea hahahahha[emoji16][emoji16][emoji16] noma sana
😂😂Yani mijuniooo ni shida.Haya majina ya juniya Mara junio mara junyia any way Junior yanashida aisee. Kuna mdada na katoto kake anakaitaga junioo basi mama yuko busy na mitaaa mara huku mara huko kitoto kinaingia kwny biashara za watu utasikia tuu juniooo. Basi bwana siku hyo kameingia dukani kwangu kaibe si kakapitia kwny grill za duka wakati kinapitisha kichwa kikapita tuu vzr sasa ndo akitoe kichwa atoke kichwa kikagomaa weee nikasema ki junioo leo kitanifia hapa mama yake hakuwepo yuko huko mtaa wa pili. Nikakiwasha kwanza kofi kwa sbb kalikua kanalia so ikawa fresh tuu mtu akija anajua kinalia kichwa hakitaki kutoka. Mama mtu anakuja jamani junioo nikasema mnasueni mm simo kama mtaita fundi apanue grill haya. Nikamchana mmaa yake nikamwambia ulinzi wa mtt unaanza na yy mama sio kuona fahari mtoto kila kipande cha mtaa yupo.