mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mtoto mwenye vibe lisilo na ukosefu wa adabu anafurahisha jamani.
yaani utakuta kila mtu anampenda,kimbembe ni hawa waliozaliwa na wadada sio kina mama.
ila tuache ukweli uwe ukweli,hawa watoto wanaoshinda shule za school bus wengi ni vipele,mimi nakutana nao hata wakija eneo langu la kazi na wazazi wao,yaani ni vichomi.unaweza mzima konzi la mwezi ukapata msala.
na kingine katika familia,mlezi mkuu ni mama,chunguza familia ambazo mama wa familia hacheki na ujinga utakubaliana na mimi.
changamoto ni wadada nao siku hizi wako busy na kazi,watoto wanashinda shuleni,mkija kugongana nao nyinyi watu baki,hakuna rangi mtaacha kuziona.