Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Mgeni hawezi kusababisha dada wa kazi aondoke!Mi pia kipindi nmejifungua mama mkwe wangu alikuja na mjukuu wake wa 5yrs jamani ni mjeuri' na kulilia kila kitu anachokiona kitamj kwenye fridge[emoji23]' alimkuta dada wangu wa kazi yule mtoto wa 5yrs alikua anamwonea jamani esp. Kipindi nipo hospitali adi dada wangu akakosa amani' yani ni anaweza pita jikoni akamkuta dada akampiga kibao na kumsemea uongo au akimkuta dada anakunywa juice anaimwaga' nakumbuka kuna siku niliwapa korosho wale pamoja akazitemea mate ili dada asile uuhw bibi anamtetea mjukuu wake yanni nilichoka nikatamani siku ziende mbele.
Yani huyu mtoto ningehakikisha hii tabia inakoma mara moja nyumbani kwangu, na kama huyo mama mkwe anapenda tabia za mjukuu wake wataendelea na utaratibu wao wakiwa kwao sio kwangu.