Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Hongera sana kwa kulea watoto vizuri uncle,

Kwa kweli mimi nime experience maisha ya kijesh jeshi Nilikuwa na bondwa vilivyo, ukisikia umeitwa chumban kwa wazazi ujue ni kipigo, bakora zimeninyoosha sana sitazisahau
 
Kuna watu wanajua kulea acha kabisa, kuna bro mmoja aliwahi kunialika kwake, mtoto wake wa kiume amemfundisha adabu sana, ana miaka minne hivi. Akija mgeni wa kiume kwanza anamsalimia zile salamu zetu (Maustadh) kisha anakuchum mkono wa kulia ule aliokupa kwa ajili ya salamu na yeye anakupa wake umchum, kisha anakuuliza jina lako nani na yeye anakwambia jina lake kisha anaenda zake, hakai mbele ya mgeni.

Watu wanafikiri kudekeza ndiyo kulea bali ni kuharibu. Kuna umri mtoto anahitaji mambo mawili hasa umri huo, nayo ni mapenzi na kipigo cha wastani.
 
Kaka lazima ulipekua pekua ma volume ya sociology au anthropology.
🙂
Ukiona mtoto anaiba na hakemewi.. au anaharibu vitu vya nyumbani na hakuna majibu.. basi ujue unatengeneza mtu muharibifu hata akishakua..

Akiingia Kazini atakuwa muharibifu asiyejali, Akiwa na mahusiano atakuwa muharibifu akiwa na watoto atakuwa muharibifu.

Mtoto kupenda daftari lake, kupenda anachokiandika, kupenda kufanya kila kitu chake vizuri, kwa ukamilifu na kwa usafi.. itamsaidia kuwa mtu makini sana akikua..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mitoto ya jamaa yangu ilikua umefika fomfoo haijawahi kupanda daladala. Sasa Kuna siku hawakua na dereva na mama yao nae hajui kuendesha. Basi mama yao aliwapandisha kwenye DCM la Kariakoo Mbezi halafu mkonge ulikua umekubali. Yaani yamesimama kwenye daladala Kama kuku wa nyama ukimtoa bandani
 
Hapo kwenye uongo ndio kwenyewe na inalelewa hivyo na bibi zao.

Lakini yakike yanakuwa si masumbufu sana kama yakiume haya yanaweza kukurukia hata machoni
 
Mfinye katikati ya mgongo huku umemkazia macho, atalia hawezi kuonyesha alipofinywa maana mikono yake mifupi mwisho unawaambia kaumwa na sungusungu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh
 
Hahahahhahaaaa,, hatari sana
 
Mwisho kumbembeleza mtoto ni miaka 2, ikizidi sana na nusu. Nje ya hapo tusilaumiane. Mtoto aajifunze kula peke yake haraka iwezekanavyo.
 
Sio Siri Mkuu ....nilitafsiri kichwa ckha habari😆😆😆 Nikajua ulimtembelea Sr. ...Mtawa ,nikawa na shauku ya kujua huo ushetani wa Sister! Samahani!
 
Dah nimecheka sana
 
Halafu mitoto dizaini hii ndio huwa inatiana yenyewe kwa yenyewe na ku.firana..si mnakumbuka story ya yule mdau humu JF mwenye dogo wa kiume aliyekua analiwa kipira? Chanzo ni malezi ya dizaini hii.
 

Jamaa yangu unakwama wapi? Haaahaaaa...sister ana watoto wa kishua kama watoto wengine wa Mikocheni
 

We jamaa utakua mkax kinoma[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…