Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Mgeni hawezi kusababisha dada wa kazi aondoke!
Yani huyu mtoto ningehakikisha hii tabia inakoma mara moja nyumbani kwangu, na kama huyo mama mkwe anapenda tabia za mjukuu wake wataendelea na utaratibu wao wakiwa kwao sio kwangu.
 
Kumbe ndio maana ilibidi ujiite chizi maana sio kwa ukichaa anaofanya sister yako
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaaa ni noma, miaka mitatu unampigisha push up?? Lazima ajiongeze kwakweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahah jamaa umenichekesha sana, ila kuna familia zero brain. Huwezi kumlea mtoto kijinga namna hiyo then awe successful
 
mimi huwa wanaambiwa "unaleta mchezo tutakupeleka kwa mjomba wako au kwa Bamdogo wako"
hapo wanajua nidhamu lazima iwepo
sasa nina wakwangu nahitaji nao wakue kiume ingawa kuna wa kike
 
Ulifanya vizuri sana maana ya Mungu mengi mwisho wa siku huyo mtoto anaweza kuwa mzigo kwako au kwa mtu mwingine malezi bora ni muhimu kwa watoto wetu maana hatujui kesho yetu
 
Mimi simu wanashika lakini si kwa mapenzi yao ni kwa mapenzi yangu. Na hawawezi kuichezea bali huitumia vile nipendavyo.
 
Hii ni hadith ya kweli.zipo familia za hiv,lkin wemgi wao ni wale waliochelewa kupta watoto.Yaani hapo kuna mabomu yanaandaliwa ya kuja kuilipua hiyo familia siku za uson
 
Dakika sifuri ningeshavunja moja mguu shwaini😠
 
Hapo hapo sebuleni.
Mume wake alitakiwa kushiriki zaidi katika zoezi zima la kuwa control hao watoto vizuri zaidi bila ya kuwatisha.

Ama ameruhusu hali iwe hivyo kwa muda mrwfu kwa namnq moja au nyingine, qu hujamuelezea vizuri.

Wqtoto wqnafundishwa na wanqfundiahikq tqngu sikunya kwanzq wanapozaliwa kwamba shwria za nyumbq hii ni hizi na hizi.

Kwa watogo walioamua tu kuharibikiwq, Baba anaweza kuuliza, "Mbona maadili yote nimefundiaha watoto wangu, tqngu waklivyozaliwa, lakini watoto wanaharibikiwa?"

Lakini, 9 times out of 10, tatizo ni wazazi kutowaasa, kutowaumba, kutowajali, kutowakanya watoto, tangu wakiwa wadogo.

Huo mfano wako wa simu zinavyohqribiwq na watoto tu, kama umwutoa sawia, unaoneshq wqzazi hawana control. Watoto wanalelewa kama mayai wanaogopwa wakilia.

Mtoto anatakiwa kufundishwa tangu mdogo kwamba akilia yeye anasumbua wengine.

Mwisho wa kulia kitoto akiachiwq saana ni miaka minne.

Akifikisha miaka mitano akilia unaanza kumuambia "ungezaliwa Afghanistan ungekuwa unafanya kazi mashamba ya poppy tayari usawa huu, wewe ushakuwa mkubwa sasa hutakiwi kulia"
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…