Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Labda Kuna mmoja alikuwa coerced kuingia ndoani!? Lack of interest.. au unakuta majibizano ni mengi mmoja wao anagiveup.. vyovyote itakavyokuwa sawa..

Tatizo tunaoana na kuanzisha familia kwa ajili yetu.. na sio watoto na future yao.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nikashusha pumzi. Nika rewind matukio yooooote ya jumamosi kwa sister it was like a little hell. Na mtoto wangu alitaka eti aige that life.Nikashangaa wenzangu wanaleaje Watoto nami nakosea wapi?

Huo wa dadaako sio ulezi/uleaji bali ni 'ufugaji!'

Hata ukifuga kuku utahakikisha wanalo banda, utawapa chakula pia utawapa chanjo na madawa ili wawe na afya.

Faida ya kufuga kuku ni utakula nyama na mayai... na faida ya 'kufuga watoto' ni majuto makubwa huko mbeleni.

Samahani labda mfano sio mzuri ila sikuwa na mfano mwingine!
 
Mkuu Kiranga hii komenti umeandika huku umeshikilia k-vant?
 
Kuna matoto mawili ya anko aliyazaa fasta fasta,kipind yakiwa madogo yalinifanya nisiende kwa anko,ukienda ukiwa getini linakuzuia kuingia ,ukilazimisha linaanza kukuitia mwizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

All I got from this post ni dharau na kujiona Upo kwenye class tofauti sana na Dada yako kiasi cha kupaita Jehanum!

Ujinga na Ulimbukeni
 
Pushap dadeki [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Wanasema watoto ni malaika ila wengine ..toka wanazaliwa unajikuta unajiuliza mara mia mia huo ualaika ukoje samtaim
 
Not at all, nimeshatembelea watu wa hali ya chini, sikutaman hata kula chakula, ila hata Mtoto wangu hakujua how I felt inside!

I am not like that, tafuta wenzako!
Usiforce mfanane bro...kila mtu anajinsi ya kureact na situation anayokutana nayo...namuelewa sana jamaa coz nilishakutana na hali kama hiyo ndo maana mie kwa watu ni ngumu sana yaani mara chache mno ikibidi hii ninkuepuka kukwazika na vitu anaweza avoid.
 
Pole sana,ungemwita huyo junia unajifanya unampa simu halafu ungekafisha vizuri kabisa,wala kasingerudia kukufuata fuata.......

Malezi ya kijinga kabisa hayo
 
Wazazi ndiyo wajinga,wanalea kijinga jinga tu
 
Not at all, nimeshatembelea watu wa hali ya chini, sikutaman hata kula chakula, ila hata Mtoto wangu hakujua how I felt inside!

I am not like that, tafuta wenzako!
Sidhani kama nimekuelewa!
I was just pointing out kwamba tunaweza tukaona kitu kimoja ila tukawa na tafsiri tofauti. Ni nature ya mwanadamu.

Mtoa mada yuko sahihi kabisa hajapenda namna dada mtu anavyomlea mwanae. Na wengi wameshare his struggle.. maana imekuwa ndio usasa wa leo... Malezi yasiyokuwa na tija.

Ila lazima tukubaliane kutofautiana. Narudia "we all see the same but differ in interpretation". Na hiyo difference ndio utashi wenyewe.. uhuru wenyewe.

Mie na vijana wangu... Na ninawatreat kama dunia itakavyowatreat. Ukikosea dunia haitakaa kimya.. itakuadhibu. Hawa watoto sio mapambo.. I was once a kid in someone's house.. leo am a father in my home..

Kesho my kids will be fathers and grand fathers. Hizi mbio za vijiti laazima tuwekane sawa kuzikabili.. na uwanja huu wa dunia its not a home for the weak of heart.. lazima watoto wajue na waheshime the balance out there..

Curious enough to try.. and smart enough to be self aware.

Kwa picha iliyo hapo kwa mtoa mada kama kuna watu walikuwa hawajui na wanafanya hayo anayoyafanya sister na mumewe... Nao they know. Purpose saved.


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…