Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Tanzania ndio jina jipya la Tanganyika umetoa wapi huo uzushi ?Pamoja na kwamba Tanzania ni jamhuri ya himaya mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibar, bado ni sahihi kusema ni tarehe ya uhuru wa Tanzania kwa kuwa Tanganyika ndiye baba wa Zanzibar...
Tanganyika iliamua kujivua jina lake na kubeba jina jipya la Tanzania huku Zanzibar ikiendelea kubaki na jina lake...(chukua muda kutafakari hapa)...
Kwamba Tanzania ndio jina jipya la Tanganyika umetoa wapi huo uzushi ?
Maneno mengi, logic ni zero. Leo siku ya uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania.Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Hakuna nchi hapa duniani inatwa Tanzania BaraTanganyika a.k.a Tanzania Bara. The United Kingdom a.k.a Britain. Wapi tatizo?
Swali lako ni zuri sana , na linapanua mjadala , hii Tanzania ni mzimu wa ccm , haijulikani ni nani hasa walimlengaTanganyika haipo
Zanzibar ipo
Tanzania ipo
Swali, Je Tanzania ni nini?
Huu uzi unapendeza sana walahiNaipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika. Waseme siku ile iliposhushwa Union Jack ni bendera ipi ilipandishwa kama siyo hii hapa????View attachment 2837314View attachment 2837315View attachment 2837316View attachment 2837317View attachment 2837318View attachment 2837319
Nyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
😆😆😆😆Nyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.
Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?
Tuweke hapa mabandiko yenye kuelimisha ili wasiojua wajue, siyo kuandika kwa lengo la kupotosha ili kutumiza matakwa binafsi. Mbona wengine huteuliwa na Rais bila hata kufahamika. Ukitafuta connection au publicity kwa upotoshaji kamwe hutafanikiwa. Msomi anataka awe tofauti na ambae hajasoma. Hivi hizo degree zenu vyuoni huwa mnazisomea kweli au ni za mchongo.
Sio nchi bali ni eneo mojawapo linalounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bado unateseka?Hakuna nchi hapa duniani inatwa Tanzania Bara
Huwezi kusema hajui anachofanya. Jamaa anadanganya umma kwa sababu ni mbinafsi, hawa ni watu walikuwa wanauza siri kwa wakoloni.Nyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.
Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?
Tuweke hapa mabandiko yenye kuelimisha ili wasiojua wajue, siyo kuandika kwa lengo la kupotosha ili kutumiza matakwa binafsi. Mbona wengine huteuliwa na Rais bila hata kufahamika. Ukitafuta connection au publicity kwa upotoshaji kamwe hutafanikiwa. Msomi anataka awe tofauti na ambae hajasoma. Hivi hizo degree zenu vyuoni huwa mnazisomea kweli au ni za mchongo.
Ni sawa tu na KUFUNGA NDOA, Kisha mke akagoma kubadili Jina.Tanganyika haipo
Zanzibar ipo
Tanzania ipo
Swali, Je Tanzania ni nini?
Kwa kweli anatia mashaka, eti naye ni mwandishi wa habari. Nawaza ingekuwaj wakati wa kupambania uhuru wa Tanganyika watu km hawa wangeshiriki, sidhan km mkolon angeondoka.Huwezi kusema hajui anachofanya. Jamaa anadanganya umma kwa sababu ni mbinafsi, hawa ni watu walikuwa wanauza siri kwa wakoloni.
😆😆😆😆Kwa kweli anatia mashaka, eti naye ni mwandishi wa habari. Nawaza ingekuwaj wakati wa kupambania uhuru wa Tanganyika watu km hawa wangeshiriki, sidhan km mkolon angeondoka.
Mkuu BANDOKITITA , mtu ukiwa hujui na unajua kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukielimishwa, unaelimishika, unajua ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078