Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

Google wametuunga mkono, sasa sijui ni worldwide au ni locally, mlioko majuu tuambieni je mnaona kama sisi au huko kupo normal?

Screenshot_20231209_102451_Samsung Internet.jpg
 
Pamoja na kwamba Tanzania ni jamhuri ya himaya mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibar, bado ni sahihi kusema ni tarehe ya uhuru wa Tanzania kwa kuwa Tanganyika ndiye baba wa Zanzibar...

Tanganyika iliamua kujivua jina lake na kubeba jina jipya la Tanzania huku Zanzibar ikiendelea kubaki na jina lake...(chukua muda kutafakari hapa)...
 
Kwamba Tanzania ndio jina jipya la Tanganyika umetoa wapi huo uzushi ?
 
Hilo liko wazi.haya mambo yanapotoshwa kwasababu yakimaslahi yakisiasa.Mambo yetu hayaendi sawasawa kwasababu tunakana utambulisho wetu.Waafrika tumekua tukiwalaumu wazungu kwakuficha historia yetu kumbe ata sisi wenyewe watanganyika tunapotosha historia yetu kwa makusudii kabisa.Sisi ni watu tusiojielewa kabisa.
 
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Maneno mengi, logic ni zero. Leo siku ya uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania.
 
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Nyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.

Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?

Tuweke hapa mabandiko yenye kuelimisha ili wasiojua wajue, siyo kuandika kwa lengo la kupotosha ili kutumiza matakwa binafsi. Mbona wengine huteuliwa na Rais bila hata kufahamika. Ukitafuta connection au publicity kwa upotoshaji kamwe hutafanikiwa. Msomi anataka awe tofauti na ambae hajasoma. Hivi hizo degree zenu vyuoni huwa mnazisomea kweli au ni za mchongo.
 
😆😆😆😆
 
Hivi tofauti ya Tanzania Bara na Tanganyika ni ipi ? Apart from hizo herufi ofcourse ?
 
Nyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.

Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?

Tuweke hapa mabandiko yenye kuelimisha ili wasiojua wajue, siyo kuandika kwa lengo la kupotosha ili kutumiza matakwa binafsi. Mbona wengine huteuliwa na Rais bila hata kufahamika. Ukitafuta connection au publicity kwa upotoshaji kamwe hutafanikiwa. Msomi anataka awe tofauti na ambae hajasoma. Hivi hizo degree zenu vyuoni huwa mnazisomea kweli au ni za mchongo.
Huwezi kusema hajui anachofanya. Jamaa anadanganya umma kwa sababu ni mbinafsi, hawa ni watu walikuwa wanauza siri kwa wakoloni.
 
Kwa kweli anatia mashaka, eti naye ni mwandishi wa habari. Nawaza ingekuwaj wakati wa kupambania uhuru wa Tanganyika watu km hawa wangeshiriki, sidhan km mkolon angeondoka.
 
Kwa kweli anatia mashaka, eti naye ni mwandishi wa habari. Nawaza ingekuwaj wakati wa kupambania uhuru wa Tanganyika watu km hawa wangeshiriki, sidhan km mkolon angeondoka.
😆😆😆😆
 
Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?
Mkuu BANDOKITITA , mtu ukiwa hujui na unajua kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukielimishwa, unaelimishika, unajua ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.

Mtu ukiwa hujui na hujui kuwa hujui, bali unajidhania unajua, wewe ni mpumba.., hata ukifundishwa hufundishiki!.

Mimi ni mwalimu humu kazi yangu kufundisha. Kabla ya kuungana tulikuwa na nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar.
Baada ya kuungana tumekuwa na nchi moja ya Tanzania, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara, iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

Ni Tanganyika ndio ililifuta jina lake na kutumia Tanzania Bara, lakini Zanzibar iliendelea kutumia jina lake la Zanzibar.

P
 
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.

Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.

View attachment 2837078

Point yako hapo wewe ni ipi?..Tumesoma history tunajua, unarukaruka kama paka mgojwa ili?
 
Back
Top Bottom