Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

Hili jambo la ukombozi wa Tanganyika lilifika bungeni KABLA ya harakati za Mtikila.

Si sahihi kusema Watanzania hawakumuelewa Mtikila ilhali wananchi walishalipeleka mpaka bungeni kupitia kina Generali ulimwengu.

HAIL TANGANYIKA
DOWN WITH TANZANIA
Duh!

JF ni kiboko yake hasa!
Sasa angalia aliyoibua mkuu ''Taso' hapa, ambayo ni kweli tupu!

Hiyo kampeni ya G...(5)? kinara wake bungeni alikuwa ni Njeru Kasaka.

Ahsante sana kwa kumbukumbu hii mkuu.

Ninachoweza kusema hapa katika kujitetea kwa hayo uliyonijibu. Bado nasisitiza kwamba matumaini ya TANZANIA, kama nchi moja yalikkuwa bado ni makubwa sana. Hakuna aliyetegemea kwamba Zanzibar watakuja kugeuka na kulitumia Tanzania kama mtaji kwao kama ilivyo sasa.
Sasa muungano umekuwa ni maudhi, kwa sababu kundi lililokuwa linatafuta kuuvunja muungano huo huko visiwani, ndio sasa wanaoshikilia usukani wa nchi. Kwa hiyo huwasikii tena wakiimba zile nyimbo zao mashuhuri za...."Kero za Muungano" walizokuwa kila kukicha zinazuka mpya.
Sasa hivi hakuna "Kero" tena, kwa sababu ndio wanufaika wa muungano.
 
Mi nadhani ni zaidi ya "utambulisho".
 
Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.

Hiyo Tanzania isingekuwepo bila Tanganyika na Zanzibar kuungana, Ila Zanzibar tunaiona, je Tanganyika ipo wapi ?
 
Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.

Hiyo Tanzania isingekuwepo bila Tanganyika na Zanzibar kuungana, Ila Zanzibar tunaiona, je Tanganyika ipo wapi ?
Wee kijana unabishana na kichwa cha Ilboru na UDSM ya akina Kabudi na Kitila Mkumbo ?
 
Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.

Hiyo Tanzania isingekuwepo bila Tanganyika na Zanzibar kuungana, Ila Zanzibar tunaiona, je Tanganyika ipo wapi ?
Naomba nikusamehe sio kosa lako!, elimu ya muungano haikutolewa baada ya muungano!. Sii wengi wanaojua kuwa baada ya muungano, taifa jipya liliitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika and Zanzibar!, hivyo majina yote mawili, yalikuwepo na ndilo jina lililosajiliwa UN kutangaza muungano!.
- Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano? na Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!. (Ufuatiliaji Muungano Sehemu ya I) na Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

Jina la Tanganyika likaja kufutwa rasmi na kupitishwa jina jipya la Tanzania, hivyo Tanganyika ikafa rasmi na kugeuka Tanzania Bara, na Zanzibar ikageuka Tanzania Visiwani, ila jina la Zanzibar likawa maintained kwenye Zanzibar autonomous.

Hivyo Tanganyika is long dead, haipo kilichopo ni Tanzania!. Ukiisha badili jina, unatumia jina jipya, Tanganyika national day sasa ni Tanzania national day!.
Hata wewe Proved, kama ni demu, maiden name yako ni Binti Proved, ukiolewa na Pasco, na kubadili jina kuwa Mrs Pasco, jina la Binti Prover linakufa unakuwa Mrs. Pasco!. Siku ukisherekea Birthday yako, anayesherehea Birthday ni Mrs. Pasco na sio binti Proved, japo alipozaliwa alikuwa binti Proved!.
P
 

Wala hakuwa serious. Hakujulikana yupo upande gani.
 

Wewe nawe unazeeka vibaya. Inakuwaje na uhuru wa Tanzania wakati Tanzania ni jina la Muungano?. Tanzania ni jina la Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sasa iweje tena ushrekee uhuru wa kitu ambacho hakikuwepo?
 
Wanajipotosha wenyewe labda wavichome VITABU VYOTE
Hakuna NCHI ILIYOPATA UHURU MIAKA 62 INAYOITWA TANZANIA BARA BALI NI TANGANYIKA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…