Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Tanganyika yako ipo???View attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Nimefurahishwa na kunilinganisha na huyo Mnyama , ubarikiwe sana .Hiyo Tanganyika yako ipo???
Kenge wewe
Duh!Hili jambo la ukombozi wa Tanganyika lilifika bungeni KABLA ya harakati za Mtikila.
Si sahihi kusema Watanzania hawakumuelewa Mtikila ilhali wananchi walishalipeleka mpaka bungeni kupitia kina Generali ulimwengu.
HAIL TANGANYIKA
DOWN WITH TANZANIA
Mi nadhani ni zaidi ya "utambulisho".Baada kuzaliwa Tanzania Wajanja ndio wakaja na dhana ya Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Cha ajabu bila unafiki visiwani wao wakasema nchi yao ni zanzibar kikatiba, na jins tanzania visiwani likawa mfu. Hata huko ccm sijawasikia tena kutumia huo utambulisho. Hivyo Zanzibar imekubalika.
Tanganyika hata mkisema imekufa swali Zanzibar imeungana na nani? Kuna wilaya ya Tanganyika, kuna Tanganyika law society na medical council na kubwa zaidi Kuna watanganyika wa kutosha wanaotaka utambulisho huo mioyoni mwao.
Hivi Mafia ni Tanzania bara au visiwani?Mbona umeweka picha ya Nyerere agenda kuzuga kupiga kura?
Hiyo Tanganyika ipo?
Siyo vibaya kama umeamua kuamini uwongo wako mwenyewe.Tanganyika doesn't exist anymore, hivyo kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho ni ya Tanzania!.
P
Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.Sherehe ya kuzaliwa ni ile siku mtoto amezaliwa, hivyo siku ya uhuru wa Tanganyika ni ile siku ya kupata uhuru.
Tanganyika ilidumu toka Desemba 9, 1961-April 26, 1964, takriban miaka miwili na miezi 4, na kugeuka Tanzania, hivyo maadhimisho yote ya uhuru toka hiyo 1964 ni maadhimisho ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika. Uhuru ni wa Tanganyika na maadhimisho ni ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, ila yanaadhimishwa na Tanzania, hivyo it's Tanzanian national day!.
P
Wee kijana unabishana na kichwa cha Ilboru na UDSM ya akina Kabudi na Kitila Mkumbo ?Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Hiyo Tanzania isingekuwepo bila Tanganyika na Zanzibar kuungana, Ila Zanzibar tunaiona, je Tanganyika ipo wapi ?
Kiukweli hawa madogo humu ni shidah!. Unafundisha hayafundshiki!.Wee kijana unabishana na kichwa cha Ilboru na UDSM ya akina Kabudi na Kitila Mkumbo ?
Naomba nikusamehe sio kosa lako!, elimu ya muungano haikutolewa baada ya muungano!. Sii wengi wanaojua kuwa baada ya muungano, taifa jipya liliitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika and Zanzibar!, hivyo majina yote mawili, yalikuwepo na ndilo jina lililosajiliwa UN kutangaza muungano!.Unajikanganya, iliyopata Uhuru 9/12/1961 ni Tanganyika na haikugeuka kuwa Tanzania ila iliungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Hiyo Tanzania isingekuwepo bila Tanganyika na Zanzibar kuungana, Ila Zanzibar tunaiona, je Tanganyika ipo wapi ?
Naona Maafsa mnawekeana ngumu.Hata wewe @Proved, kama ni demu, maiden name yako ni Binti Proved, ukiolewa na Pasco, na kubadili jina kuwa Mrs Pasco, jina la Binti Prover linakufa!. Siku ukisherekea Birthday yako, anayesherehea ni Mrs. Pasco japo alipozaliwa alikuwa binti Proved!.
Madogo wanakomaa tuu, Tanganyika ilikufa long ago, iliyopo sasa ni Tanzania!.Naona Maafsa mnawekeana ngumu.
Mbowe bado yuko Hanang?
Ilitakiwa mumsapoti sana hayati Mchungaji Mtikila anapopambania upatikanaji wa Tanganyika. Badala yake mkampora UKAWA na kabla ya hapo mlimfukuza uanachama mwaka 1997 alipogombea ubunge Ludewa/Makete.
Alipokua anasema saa ya ukombozi ni sasa, mnasema tulishakombolewa zamani. Alikuwa anapambania uwepo wa Tanganyika kwa faida ya watanganyika na sio kwa faida yake au ya chama. Hakua muumini wa vyama vya siasa.
Majuto ni mjukuu.
Wapi?Kamuulize
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Madogo wanakomaa tuu, Tanganyika ilikufa long ago, iliyopo sasa ni Tanzania!.
P
Wanajipotosha wenyewe labda wavichome VITABU VYOTEView attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Mumeo kasema ni uhuru wa TanzaniaView attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078