Ukizingua unazenguliwaWembe ni ule ule
Hivi ni kweli hatujui Kiswahili au tuneamua tu kujitoa ufahamu kwasababu nyepesi za kisiasa? Hiki ni kweli hatujui kabisa NAHAU, SEMI ba TAMATHALI ZA SEMI? Rejea wimbo huu hapa wa CCM Wembe ni uleule Moto ni uleule Mwendo ni uleule Mbinu ni zilezile Njia ni ileile nknk Ni hulka asilia ya...www.jamiiforums.com
Wembe ni ule ule
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea
😆😆😆DPP akate rufaa haraka hakimu mkazi wa Mbeya alimwachia Mdude Nyagali kimakosa kesi iendeleee
kusema hakuna rais wa ajabu kama huyu!!!Tundu lissu alitumia lugha ya kistaarabu akapigwa risasi.
Awamu ya 'shetani' hangeweza kushindaMbona hakuishinda ktk awamu ya 5
Wembe ni uleule.Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea
Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Mimi hata lugha sina tatizo nayo.Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?
Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
Siyo Mama Samia aliyemuachia bali ni Mahakama. Je unadhani kama Mwendazake angekuwa hai Mahakama ingeweza kumuachia Mdude?Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Exactly. You nailed it.Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?
Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
Inaweza kuwa in kweli lakini aongee kwa staha. I think chamba kinatakiwa kiorodheshe hotuba Na zipitiwe kabla ya kuruhusiwa kusomwa. Matusi hats kama ni kwa nia nzuri bado hayafaiPamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.
Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.
Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Hoja yangu ilikuwa 1 tu nayo ni Mdude Kushinda kesi badala ya kudhani ametolewa kwa Msamaha wa Rais , hayo mengine niliomba mapema sana kwamba sitayajadili , hii ni kwa sababu iko mijadala mingi sana humu inayojadili kauli ya MdudeHivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?
Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
Rais ni mtu kama watu wengine wote. Akizingua anazinguliwa tu. Staha maana yake nini?Anajua akina Kibatara watamtetea tena! Stupid arrogance.
Rais anakosolewa kwa staha, kuheshimu Mkuu wa nchi ni lazima hata vitabu vya dini vinaelekeza. Huwezi kuzungumzia Rais kama unaongea na wahuni.