Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Wembe ni ule ule
 
Wembe ni ule ule
Ukizingua unazenguliwa
Kuku anye
Bata kaharisha
Mabingwa wa misemo ccm wanapozinguliwa wanakimbilia kulialia
Jalalani walilitamka wenyewe
Akilitamka ambaye si Mccm tusi na kesi juu!!
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea

Mbona hakuishinda ktk awamu ya 5
 
Mkuu uko sahihi kabisaa lakini naamini asingeshinda chini ya dictator uchwara, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Wembe ni uleule.
TUNATAKA KATIBA MPYA.
 
Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?

Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
 
Mimi hata lugha sina tatizo nayo.

Na huyo ni rais, ukishaanza kumpa u special fulani, kwa sababu ni mwanamke, tayari ushaanza kumnyanyapaa.

Yani unapofikiri unamtetea kwa sababu yeye ni mwanamke, unamnyanyapaa kwa kuonesha kufikiri kwamba wanawake wanatakiwa kuwa na special protection, hata wakipata urais. This is bonkers.

In fact, nataka Lese Majeste laws ziondolewe Tanzania viongozi waweze kutukanwa zaidi bila wananchi kufunguliwa mashtaka. Viongozi wote, wanaume kwa wanawake.

Tanzania should not be like Thailand.

Tatizo langu kwa Mdude si lugha chafu, ni lugha ya uongo.

Mdude kamnyoa nini, nani, lini, wapi, kivipi?
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Siyo Mama Samia aliyemuachia bali ni Mahakama. Je unadhani kama Mwendazake angekuwa hai Mahakama ingeweza kumuachia Mdude?

Mdude ana Historia ngumu sana. Hajui hata wazazi wake wako wapi, wala hajui kwao ni wapi. Hata viongizi wa CDM hawajui whether ni Mtanzania au Mkongo . Alizaliwa akajikuta anaishi tu na wasamaria wema. Up bringing yake ndiyo inamfanya awe kama myama, yaani fearless.

Siyo kwamba ana ujasiri bali maisha kwake hayana maana. Yuko kama mnyama akifa sawa, akijeruhiwa sawa, akilala shimoni sawa.

Mwenye akili nzuri, malezi na familia hawezi kutoa kauli kama Ike siku 3 tu baada ya kutoka kwenye mateso kama yale
 
Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?

Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
Exactly. You nailed it.
Kuna hoja zinaletwa et akna Kheri na Kihongosi wamewahi kutia lugha chafu...kama CDM ni bora kwa nn wawe kama wao?

Wanasema kashinda kesi...mbona kipindi cha jiwe hakushinda? Na kama wanasema ameshinda kihalali...kwa hiyo wanakiri kua mahakama zetu ni huru?

Chadema wanazidi kupoteza credibility kwa wananchi. Ni bora CCM waendelee kwani CDM wanaonekana wazi hawana tofauti na ccm na ni waroho wa madaraka.

Ccm itawalae Until the birth of new strong opposition party, ila sio CHADEMA.
 
Chadema bado Wana zile siasa za mwaka 2000, wanasahau kwamba wabongo wanamwelewa sana mama na hakuna chochote utakachowaambia wakakuelewa at least kwa sasa.
 
Nyie ndio huwa mnamponza mdude... Mnaampa kichwa hapa.. ataendelea kuropoka watu watamfinya teena mtaanza piga kelele teena... Free nyagali free nyagali...

Serikali haishindwi kitu ila inaamua tu.

La msingi mwamba yupo free tumuombee afanye life lake maisha yaendelee na sio kumsagia kunguni
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Inaweza kuwa in kweli lakini aongee kwa staha. I think chamba kinatakiwa kiorodheshe hotuba Na zipitiwe kabla ya kuruhusiwa kusomwa. Matusi hats kama ni kwa nia nzuri bado hayafai
 
Hivi kati ya Mdude na Mashehe wa UAMSHO nani amekaa jela muda mrefu? What did they say baada ya kuachiwa huru na mahakama? What did Eric Kabendera and Tito Magoti say after their release from jail? Tatizo si ukosoaji bali lugha inayotumika katika ukosoaji huo. Kama ninyi ni bora kuliko wao, kwanini basi mtende kama wao?

Word of caution: someni mtazamo wa Watanzania kwa Mama Samia ukoje (wouldn't tell), lest jamii iishie kuwatafsiri kuwa mnam-bully because she is a woman.
Hoja yangu ilikuwa 1 tu nayo ni Mdude Kushinda kesi badala ya kudhani ametolewa kwa Msamaha wa Rais , hayo mengine niliomba mapema sana kwamba sitayajadili , hii ni kwa sababu iko mijadala mingi sana humu inayojadili kauli ya Mdude
 
Anajua akina Kibatara watamtetea tena! Stupid arrogance.

Rais anakosolewa kwa staha, kuheshimu Mkuu wa nchi ni lazima hata vitabu vya dini vinaelekeza. Huwezi kuzungumzia Rais kama unaongea na wahuni.
Rais ni mtu kama watu wengine wote. Akizingua anazinguliwa tu. Staha maana yake nini?
 
Back
Top Bottom