Kwa Tz hakuna kesi hapo. Julian yeye ashukuru Mungu apone aendelee na maisha yake tu.
Tena akipona aende hata nje maana utekaji uko hatarini juu yake.
hakuna kesi hapo huyo jamaa atatoka polisi na maisha yataendelea,hii nchi sahvi imekuwa kama Mexico tuTanzania a failed state.
hakuna kesi hapo huyo Derrick atatoka na ataendelea na maisha yake,nchi hii sahv ilipokuwa iko vagarantMwenzako Derick yuko Osterbay Police, sema hakuna case na kashikiliwa hapo bado
Ile kitu ni ya kukaa nayo mbali. Ikibweka tu hutoulizwa unakula saa ngapi tutajiuliza marehemu anazikwa lini! Fa mchezo niniMjomba unaijua bastola au unaisikia tu. Kuna mwamba naona alitaka kuingilia hapo akaonyeshewa chuma naona akarud fasta na kuna dada hapo alikadhalika kuonyeshwa chuma tu kakimbia mwendo wa ngiri hapo.
hakuna kesi hapo huyo Derrick atatoka na ataendelea na maisha yake,nchi hii sahv ilipokuwa iko vagarant
ova
Mwenzako Derick yuko Osterbay Police, sema hakuna case na kashikiliwa hapo bado
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.
Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima mwenye namba za simu 0738133331 alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.
Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.
Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.
Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.
UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Mbona Nchi kama congo na somalia haya mambo hamna.Maafisa wa usalama wa Taifa wa bongo wanajikuta wajaanja sana.
Jamaa fala kweli yani zama hizi unagombania utelezi tena club na usikute lina familia, alafu et n TISS💩💩Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.
Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu kama Chief Abayomi) mwenye namba za simu 0738133331 alianzisha fujo na kujaribu kumpiga risasi Julian Bujulu baada ya kutokea sintofahamu kati ya Derick na Julian iliyosababishwa na Derick kujaribu kulazimisha kuondoka na mwanamke aliekuwa ameenda kustarehe katika Club hiyo akiambatana na Julian. Taarifa zinaeleza zaidi kwamba Derick ni mtu mwenye mke na watoto na kwamba mwanamke anayehusishwa na ugomvi huo ni Dada yake Julian ambapo walikuwa wametoka pamoja kwenda kwenye starehe.
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghasia zilianza baada ya Derick kutaka kuondoka na mwanamke huyo kwa nguvu bila kujali yupo na kina nani, jambo lililopelekea Kaka mtu kuingilia kati akizuia Dada yake kuondoka na Derick. Mzozo huo ulipopamba moto, Derick alitoa bastola akiwa na lengo la kumpiga risasi Julian lakini kwa bahati nzuri, bastola ya Derick iligoma kutoa risasi. Baada ya kushindwa kupiga risasi, kwa hasira Derick aliamua kumpiga Julian kichwani kwa kutumia kitako cha bunduki hiyo na kumsababishia majeraha makubwa.
Kamera za CCTV katika klabu hiyo zimenasa tukio zima jinsi Derick alivyotenda na kusababisha majeruhi makubwa kichwani yaliyopelekea kuwahishwa hospitali na baadae kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili ambapo amelazwa kwa matibabu zaidi.
Mpaka wakati huu, Derick Lima anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Oysterbay huku uchunguzi ukiendelea. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba haki haitatendeka kutokana na uhusiano wake wa karibu na wakubwa. Mpaka sasa kuna baadhi ya “Matajiri” wa mjini ambao wamekuwa wakimtumia Derick katika kukwepa kodi na kutekeleza mambo yao haramu wamekuwa wanaendelea na jitihada kuhakikisha anatoka mikononi mwa polisi bila kuwa na kesi.
Polisi wamechukua mashine za CCTV katika Club hiyo na katika kuhakikisha mmiliki wa Club hiyo anaminywa na asitoe ushirikiano, wameachia makusudi video inayomuonyesha mmiliki huyo akifanya mapenzi na mmoja wa aliekuwa mfanyakazi wake katika moja ya ofisi za Club hiyo.
UPDATE: Polisi wamemkamata Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'
Kuhusu disorientation mimi sijui.Na hii disorientation vipi?
kwahiyo tuhitimishe tu kwa kusema kwamba kaka wa mrembo aliepata kipigo cha mbwa koko hakuzingatia kanuni za ulevi na alisahau kabisa kwamba unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya ya akili na utimamu wa mwili..Huyo Derick kakutana na mrembo😆 kanuni yangu huwa siruhusu kunywa mpaka nipoteze balance au utambuzi.
Kimsingi pombe huwa ina boost confidence kidogo huyo fala lazma ningempa chai pamoja na kibastola chake uchwara.
Siku huwa tunasema hicho kitengo kimejaa watu washamba, malimbukeniMaafisa wa usalama wa Taifa wa bongo wanajikuta wajaanja sana.
Wote hapo ni wapumbv tukwahiyo tuhitimishe tu kwa kusema kwamba kaka wa mrembo aliepata kipigo cha mbwa koko hakuzingatia kanuni za ulevi na alisahau kabisa kwamba unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya ya akili na utimamu wa mwili..
Inafaa siku zingine akiwa nzwii,
ni afadhalli awe anabiga biti tu kwa kurusha mikono na kujipiga kifua kwamba wewe huwezi kuifanya kitu, huku akitokomea na kuondoka kabisa kwenye eneo la tukio. Vinginevyo yajayo yanasikitisha zaidi 🐒
Unagombania mwanamke tena yuko club huo ni ushamba kabisaJamaa fala kweli yani zama hizi unagombania utelezi tena club na usikute lina familia, alafu et n TISS💩💩
Mkuu kwa lugha nyingine dau lako linaanzia 5m kwenda juu vijana tujaribu kujipiga pigaAisee! Kuna aina ya watu hutakiwi hata uji associate nao na kuna club siendi, call me old school but wacha tu baadhi ya vitu vinipite.
Alafu wakinadada sisi nao kuna saa tuko cheap 🙄 Yani nkiangalia hapo hao wanaofanya wakaka watoane damu na huyo aliyeinamishwa hapo on the other video nikiwacombine wote sijui kama hata 5M kwnye account wanazo lakini ndio wamejiassociate na watu wa ovyo hivyo 😔
Mungu atusaidie tu kwakweli