DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Dar Ina wanaume dhaifu sana. Yaani jamaa kajipigia Hadi kachoka na huku bastola yake imefeli? Huwa mnaenda kuwaambia Nini wake zenu wakuu?
Bastola haikua na magazine maana amekoki zaidi ya mara mbili na hakuna risasi iliyotoka wala kudondoka chini.
Cha ajabu wananchi wema wangemdhibiti na kumnyang'anya hiyo bastolla wangeuziawa kibao kuwa wamepora silaha na wangebambikwa kesi ya ujambazi .
Pumbavu kabisa .

Awamu hii tukicheka nayo hakika Watangayika itakua ni rahisi kuokota maiti ya binadamu njiani kuliko mizoga ya Mbwa na hakuna cha kufanya . Aliyeko juu ya Sheria na watu mil. 65 na nchi na vyote vijazavyo ndani yake amewaondolea machawa wake dhambi zao zote .

Katiba hii ya mwaka 1977 haifai kabisa kuendelea kutumika kwenye karne huu kwa sababu inamuondolea Mungu ukuu wake na heshima yake kupewa binadamu mmoja kufana na kuamua anachotaka
 
Mkuu mtu kama yule angeweza kujeruhi wengi. Uzuri ni kwamba Kuna USHAHIDI wa CCTV huyo alipaswa apigwe kipigo Cha nusu kaputi yaani akitoka hapo lazima awe chizi halafu bastola Inawekwa kama ushahidi Kwa aliyempiga. Tuliendelea kuogopa kiasi hiki nakwambia yajayo ni mabaya zaidi.
 
Hahaha walikuwa polisi au wana tu
?
 
Mungu Mwema sana aisee maana kwa haraka nimeona zingetoka angeua watu si chini ya wanne, naomba elimu kidogo mkuu: magazini ni tofauti na risasi au?
 

Huyo angepigwa waliompiga ndio wangegeuziwa kibao kuwa walitaka kumpora silaha yake . Na yangejengwa mazingira ya kuonyesha kuwa alikua kazini kufuatilia wetu wanaomtukana rais mtandaoni.
Kesi yake ingeisha na waliompiga wangepotezwa kabisa .

Bahati nzuri Mungu sio Salimia palikua na CCTV Kamera
 
Tanzania nchi ya amani sana aisee!
Watanzania wengi hawajui au hawajafunzwa kujifanyia kujilinda "self defence"
Maeneo mengine kama Jozi ukimwambia mtu nitakupiga risasi basi mtu huyo anakuwahi kukutepesha. Wenzetu Mkwaju unafichwa unatumika kwa kushtukiza hata victim anakuja hajui.

Mtu anakwambia ana mkwaju unaendelea kumchekea badala kumfanyia umafia chap, angekufa huyu jamaa kifala fala.

Ni bongo tuu hii, ndio mtu anaweza kujigamba mbele ya wanaume kwamba ana "Mkwaju" na akabaki salama. Jozi ukiingia club na mkwaju kwanza watu wa humo watakuwa attention yao yote ni kwako.

Tulinde Amani tuliyonayo Bongo ndugu zangu. Kiwanja unapotoa tuu bunduki mwenzio anakuwahi anajua unamuua, anajitete kukuwasha kwanza. 😁
 
Huku kwetu Kuna police alikuwa anaokoa jambazi akapigwa Hadi kupoteza maisha. Kilichofata wanaume walima miji Yao walikamtwa Hadi wazee
 
Back in the days of sanity, it was rare to find a member of security establishment or political class embracing this form of decrepit hooliganism and thuggery. They were disciplined and closely monitored.

I remember instances were Government Ministers who, through brazen and collosal arrogance committed adultery with peoples' wives expecting nothing would happen to them. Unfortunately when the news reached Mzee Mchonga, it was over for them.

A nation with no collective moral conviction is no different from pack of cannibalistic savages. And yes, Tanzania is a potentially failed state, you just don't realize it.​
 
Mungu Mwema sana aisee maana kwa haraka nimeona zingetoka angeua watu si chini ya wanne, naomba elimu kidogo mkuu: magazini ni tofauti na risasi au?
Magazini ni kifaa au sehemu ya kujaza risasi kama ilivyo tenki la mafuta kwenye gari. Mtu akikoki zile risasi zinatoka kwenye kile kifaa na kwenda kwenye Chemba kisha ukibonyeza kwenye kidude cha kufyatulia ndipo risasi inalipuka na kutoka nje na kuleta madhara au kuteketeza .

Risasi ni ile inayolipuka na kutoa kipande kidogo kama kichuma au kichwa na kumpiga mtu na kuua au kujeruhi. Risasi zinakua nyingi ndani ya magazini . Mfano Magazini ya Bunduki ya Germany 3 inaingia risasi 30. Bastola mara nyingi ni risasi 8 mpaka 12 kutegemea na aina ya bastola.

JKT na mgambo inasaidia kujua angalau ABC za mambo ya kijeshi .
 
Asante sana mkuu, polisi wanavyosema wameokota magazini ina maana risasi zikiisha ndo magazini inatoka nayo ama inakuwaje?
 
Huku kwetu Kuna police alikuwa anaokoa jambazi akapigwa Hadi kupoteza maisha. Kilichofata wanaume walima miji Yao walikamtwa Hadi wazee


Hivi sheria iliyopitishwa na muoga Tulia Bungeni italeta madhara makubwa sana maana inawapa nafsi machawa na UVCCM kutumika kama watu wa idara ya usalama wa Taifa.
Na kwa sasa Mkuu wa nchi ana wale aliowaita cha wake hawa hawahusiki kabisa hata wakiuza mishikaki ya nyama za binadamu pale kariakoo. Watasaidiwa na itaonekana kuwa ni nyama za nyani sio binadamu.

Ni vema kipindi hicho cha mpito cha awamu ya Tano kipite ili apatikane Rais wa awamu ya sita aliyechaguliwa kwa kura na sio makamu wa Rais aliyeshikilia uraisi ili nchi itumie kufikia uchaguzi wa awamu nyingine.

Rais halali ni yule anayechaguliwa kwa kura na sio vinginevyo . Kusema ni awamu ya sita ni mtego unaolenga kuibua mjadala ikifika 2030 ili afikie 2035 .
 
Kama huyo jamaa, ndio shushushu, basi hakuna kitu hapo, anaonekana kama vijana wa benk tu, Hana hata move za ki martial art, huyo jamaa aliyepigwa, alipomrukia kwa Nguni, ingekuwa kiss, huyo TISs chali zamani, anapiga mateke kama mtoto wa kike,kilichompa kiburi na hako ka bastora, bila hivyo anaweza kuliwa hata malinda kabisa
 
Dah we unafuatilia matukio kweli,wanajeshi kila kukicha wanadunda watu mitaani na kwenye mabar.kumbuka hata tukio la mtoto wa fundikira swetu,tafuta tukio la komandoo aliyeua chalinze sababu ya mapenzi,tafuta tukio la Kweli washamba bado wanazaliwa yaani unanunulia vinywaji dem the whole night ili ukamle!, si muongee bei tu uzuri madem zetu wa mjini wako straight forward.unasema price unaenda kula mzigo hayo ya kununua drinks kayataka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…