DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mie hata nilewe vipi huwezi nifanya hivyo..๐Ÿ˜‚ kuna kundi la Walevi wa dizaini ya huyo Derrick niliwashusha kwa mafungu pale La Chaaz enzi hizo ๐Ÿ˜‚ kama mnavyojua kile kipande ndio kina Wanavipepeo Weusi real na fake.. mie sikutaka kujua hilo.
 
Huyo mshammba aliyetamba na hiyo bastola mwambieni asirudie tena ulimbukeni wake huo
Angekutana na mimi ningemuua anayo bahati kukutana na huyo aliyekutwa naye
Acheni kudanganyana, nimeona komenti nyingi watu humu wakitamba kuwa wangekuwa wao wangemdhibiti huyo jamaa aliyejihami na silaha ( bastola) wangemdhibiti kwa mapigo ya ngumi.

Hiyo siyo movie ni uhalisia mbele ya macho ya wengi, mtu anapojihami na silaha kanuni zifuatazo zifuate Ili uwe Salama:-
1. Kuwa mtulivu na nyanyua mikono juu kuashiria kuwa hauna Nia ya kupigana naye.
2. Epuka kuongea maneno yenye kumfanya aamue kukushambulia kwa silaha.

3. Muombe idhini ya kuondoka kwa unyenyekevu Ili unusuru uhai wako,

4. Kubaliana na matakwa yake wakati huo ( kama mnagombania mwanamke, pesa n.k)
5. Usijaribu kuonesha Nia ya kupigana naye:

MUHIMU: kujaribu kupambana na mtu anayejihami na silaha kama huna ujuzi wa SILAHA ni kuweka dau la kucheza kamari maisha Yako.
Mtu mwenye ujuzi wa SILAHA anatambua aina ya bunduki, uwezo wake, muda ambao silaha imewekwa tayari kwa mapigo na pia ni rahisi kujua kuwa silaha si halisi ( fake)

Ni muhimu kutambua kuwa kumdhibiti mtu mwenye silaha katika umbali mfupi ( close range) inahitaji mafunzo maalumu ya Hali ya juu yanayokupa uhakika wa haraka wa kutekeleza matendo kusudiwa.

Mafunzo hayo asilimia kubwa hutolewa kwa askari wa vikosi maalumu vya kijeshi ( komandoo).

Msijaribu hata siku moja kumvamia mtu aliyejihami na silaha bila kuwa na sanaa za kimapigano, mtakufa kirahisi sana.

"Play safe, a muzzle plays death games"
 
Khe! Hivi kumbe kuna watu wako serious na wanawake kiasi hiki ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huyo mshammba aliyetamba na hiyo bastola mwambieni asirudie tena ulimbukeni wake huo
Angekutana na mimi ningemuua anayo bahati kukutana na huyo aliyekutwa naye
Badala ya kutamba na kunuia kuhitaji kukutana na watu wa namna Ile, omba MUNGU usikutane nao.

That's a game of death. Silaha hata akiwa nayo mtoto mkononi mwogope na usijaribu kumkabili, kupigwa risasi ni rahisi sana na ukafa.

Ujuaji wa kwenye kibodi utawaponza hasa mkikutana na watu wapumbavu wanaotumia vibaya silaha bila kufuata miiko.

Linda uhai wako kwa kadri uwezavyo!
 
Umemsikia Top afande wa Dar, nimejifunza kitu!
Amemtenganisha na kazi yake wakati watuhumiwa wengine wanatajwa kazi wanaofanya
anasema kwamba jalada la uvhunguzi limekamilika na limepelekwa ofisi kuu ya mashtaka kuona kama itamfungulia mashtaka!
Ukizingatia Ile Sheria iliyobadilishwa kwa maksudi kwamba Hawa jamaa nao ni jeshi! Na Wana Kinga ya kutoshtakiwa kwa jinai ikiwa watafanya makosa wakati wa utekellezaji wa majukumu Yao, na ukizingatia kwamba ni msaidizi wa msaidizi wa namba 1. Na ukizingatia kwamba anaweza kusema alikua kazini na yule dada ilikua ni specimen ya kupata taarifa Fulani! Jamaa Yuko huru!
Hawakua wajinga kubadilisha Sheria,tulikua wajinga kushuoaza mafuvu kuona ni sahihi! Banana republic
 
Acha ushamba au Ndio SGR imekuleta Dar! Kuna shida gani kwenda clubin na family members au Ndio kuhusisha club na zinaa tu! Kizazi Cha zinaa hiki Ndio mana anataka kumsindikiza kuzimu mwenzake kwa sababu ya nyege
Wewee!! Em tulia hukoo!๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kwahiyo yule jamaa ni TISS ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wow wow
Umesoma sheria ya TISS iliyofanyiwa mabadiliko?

Unadhani huyo kijana wa Mafwele hajui kuwa ana mbeleko ya madon na sheria?

Ali Kibao hadi leo hakuna uchunguzi wala hatua zilizochukuliwa.

Failed State
Tunatawaliwa kigaidi
Huu ni ugaidi TU kama wa Hamas au Hezbollah, alshabab na upumbavu wa namna hiyo! Hata kama Yuko TISS ndio awe taahira namna hiyo unagombania wanawake baa, na hata hujaja nae umemkuta TU! Kama TISS Ina wapumbavu kama Hawa ndio maana nchi inaibiwa sana hii! Badala ya kulinda rasilimali zetu analala club kufanya umalaya, kenge kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ