DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uko sahihi sana

Ameingiaje na silaha?
Swala ni Kwamba katumia vibaya.
Usimiliki silaha km huna passion ya kumiliki.
We mtu unamwacha mkeo na familia unaenda kugombea binti malaya tu club.
Hawa washamba sijui hata wametoka wapi,
Osterbay,Masaki hana hata hivyo viota si tunakesha huko.
Walikua kijijini.
Osterbay hotel,Karibu hotel,Sea Cliff,Coral beach hatukuwai kuona ujinga huu.
Protea,Cine club,Avokado,sijawai kuona upuuzi huu.
Kawe club niliwai pigwa na wanajeshi wa5.
Na kesho nikaenda tena.
Sidhani huyo jamaa alitakiwa kutumia nguvu sana kumkabili huyo bwa mdogo..
Makofi mawili tu yangemtosha.
 
Eti wanasema chuma kiligoma kufyatuka.

Weeeeeeee,mi siamini huenda alikuwa anajua haina risasi mwendawazimu yule,akaamua kucheza na akili ya muhanga,vyuma havigomagi ovyo ovyo,refer mzee Ditopile,one kick one goal.

Ila twende,mbele na kurudi nyuma,chama haina mazowea,mjeda mwenyewe ukiwahi kumuehandsup lazima ajinyee,chezea mguu wa kuku wewee
 
Kaka GWAMAKA USWEGE Mimi mbantu mwenzio Kama jina lako sielewi nini unasema rafiki ,nitafsirie nielewe maana huyu jamaa ametuboa wengi na Mimi nimeamua kufuatilia jinsi watu wengi tulivyochukia kabisa.
 
Unauliza majibu au sarcasm.? Kama unauliza majibu Ndio ni Mtumishi wa idara ya usalama wa taifa na msaidizi wa msaidizi wa number 1

Kuna sehemu tumefeli mazima. Hana akili. Labda anawaangalia nao hawaona hilo tatizo. Uwezo wake kiakili nimdogo sana.
Unagombaniaje demu kwenye night club? Na demu mwenyewe sasa ashajulikana. Ni yale makulubembe ya mtaani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huyo Derrick na yeye apigwe spoku au aminywe na plies. Wanaume mnakuwaje siku hizi. Hizi mambo za kugombania wapenzi ni za kimama sana
Wanaelewa basi 🀣🀣 hapa utashangaa lawama anabebeshwa huyo mwanamke. Hawa ujasiri wao ni hapa jeiefu tuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Na tatizo ni pale alipotaka kutumia nguvu kwa mtu ambaye hamjui. Hilo ni tatizo kubwa, huwezi kupambana na mtu usiyefahamu strength na weakness zake, pengine angejifanya mjinga huenda hayo yaliyomtokea yasingekuwepo. Anyway pole nyingi kwake
Wote walikuwa wamelewa chakari ndo maana.
 
Mna mikwara ya kisoro jamvini. Utakuta hapo ulipo una bonge la kitambi hadi unashindwa kufunga kamba za viatu huku umekaa.

Nyau de adriz maamaee
 
Hahahaa Kisura mtaalamu wa Jiu-jitsu na Muay Thai.

No chezea yeye. Halafu huwa hakosi pepper spray…..anazo tatu mojawapo ikiwa ni bear pepper spray.

Kimoja kipo kwenye key chain. Kingine kwenye mfuko wa suruali. Cha tatu kipo kwenye sehemu isiyojulikana.

Kwa hiyo katika purukushani ikitokea anakidondosha kimoja, bado atakuwa na fursa ya kuvitumia hivyo vingine.

Ushawahi kupuliziwa pepper spray wewe?
 
Hichi ulichosema ndio kitakachofanyikaπŸ˜† yani ni lazima jamaa a get out without attempted murder case.
Na kwa kukuthibitishia Hilo. Jioni ya Jana Muliro amewahi TBC jioni wakati ambao anaamini kwamba watu wote wamepumzika majumbani na kutumia chombo hicho kukanusha vikali uhusika wa jamaa na vyombo vya Dola. Kazi aliyokua anafanya Muliro Jana ni kuongea na media tu kuhusu Hilo tukio.

Jiulize na matukio mangapi yanayofnana na Hilo ambayo polisi wametumia nguvu kubwa namna hiyo kuiaminisha media kuwa watuhumiwa hawahusiki na vyombo vyao?

Kuna jambo unashindwa kujiuliza. Kwani Hawa watu wanaishi kwenye space au Dunia tofauti? Sio kwamba tunaishi nao na tunajua whereabouts zao, kazi zao na familia zao? Wana marafiki na watu wanaowafahamu ambao tunaishi nao? Inakuaje unakataa kumhudisha na kazi anayofanya kwamba ndio pamoja na nyege zitokanazo na pombe, ulimbikeni na mambo mengine Ndio driving force ya kufanya huo uhalifu? Au mesahau ya Afande kwenda kung'ang'ania demu Boardroom sinza huku akiwa amelewa na akamsindikiza kuzimu mlinzi? Imeahahulika? Au pale ilishindikana kucover up sababu ya defender na uniform ya polisi?

Hii inakua ngumu Kwa sababu ya attachment ya dogo na msaidizi wa namba Moja, Ili kulinda hadhi na heshima ya ofisi namba Moja. Utungwaji wa Sheria zinalonge kuwapemdelea watu wa aina Fulani madhara yake ni makubwa kwa jamii ya watu wengi! Dogo akidefend alikua kazini na kwamba jamaa alikua anaingilia majukumu yake na alifanya vile Ili kumpunguza kasi ya kufuatilia nani atapinga wakati Sheria imeweka wazi kwamba hawana jinai?
Fallen State
 
Julian na dadaake wamekunywa Pombe kwa hela Derick sasa Derick anataka akamzagamue dadaake.. unakataaje??
Ndivyo ulivyokua? Majina yenyewe kama ya kwenye movies? Unaweza kupata picha ya moral upbringing ya Hawa watoto!
Kwa sababu one of the factors that influence ones behavior ni parental care. No wonder
 
Halafu hiyo club pia ijiangalie. Mtu anaingia ndani hadi na bastola bila ukaguzi? Hii imekaaje kiusalama?
Fikiria zaidi ya hapa na kama unahudhuria mabaa au sehemu za starehe Kuna watu wana-missuse power.
Inawezekana kabisa hapo wanamjua na anakuja kutumia hela nyingi chafu. Ana influence kutokana na aina ya kazi anayofanya, mwenye baa anamtumia kama cover up ya uchafu wake mwingine. Tunawaonaga wengi tu na unafahamu ulimbikeni wa watanzania kwa upana wake! Mtu akijihusisha na vyombo vya usalama wanamtumia kama mlinzi wao hasa wafanyabishara. Na ukijifanya mbishi vile vile ufunge biashara Yako! Kwahiyo walinzi wako alarted when that rascal comes in!
 
pale ni club, hata hakuwa na akili kwamba nyuma yake anaweza kutokea mlevi mmoja ameshika chupa nzitonzito akamtwanga nayo kisogoni, hiyo bastola ingemsaidia nini?
Zamani kumjua mtu ni wa idara Ile ilikua ni mchakato! Sasa hivi ni pride kwa Hawa watoto wa cerelax na isikauke saana uweke na mayonise huku piano likipiga kwa mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…