babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Swala ni Kwamba katumia vibaya.Uko sahihi sana
Ameingiaje na silaha?
Usimiliki silaha km huna passion ya kumiliki.
We mtu unamwacha mkeo na familia unaenda kugombea binti malaya tu club.
Hawa washamba sijui hata wametoka wapi,
Osterbay,Masaki hana hata hivyo viota si tunakesha huko.
Walikua kijijini.
Osterbay hotel,Karibu hotel,Sea Cliff,Coral beach hatukuwai kuona ujinga huu.
Protea,Cine club,Avokado,sijawai kuona upuuzi huu.
Kawe club niliwai pigwa na wanajeshi wa5.
Na kesho nikaenda tena.
Sidhani huyo jamaa alitakiwa kutumia nguvu sana kumkabili huyo bwa mdogo..
Makofi mawili tu yangemtosha.