DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
TISS imejaziwa wapumbavu wasio na akili
 
Wanajeshi wanapiga watu kila siku mitaani kwa ugomvi wa kugombea wanawake wabovu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji,uliza Kigamboni huko watu wanavyopigwa ovyo wewe unasema wana nidhamu! Nidhamu gani!
Huyo hata hakumbuki miezi michache iliopita mwanajeshi alichomwa kisu kwenye ugomvi huko Kawe? Kesi ya kubaka mande mmoja wao ni nani?
 
Hivi unawezaje kuwa na mke na watoto ukaishia club mpaka asubuhi na ukataka kubeba mwanamke uende naye na huyo mke nyumbani anafanya nini? anajuwa mume wake yuko club? najiuliza tu inawezekana vipi una family ukatoka usiku mpaka asubuhi na mke anakusubiri tu? tushukuru sisi wenye family zetu usiku ziko family mitihani kwa kweli.
 
Taasisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iko wapi?? Askari anaskika akisema kabisaa hiii siiachi yaani Video ya ngono na hakuishia hapo akairusha mtandaoni. Aibu sana kwa jeshi letu. Aibu sana hii.
Ndivyo anavyo wafundishwa empty headed wambura
 
Huyo jamaa nikimuangalia pamoja na bastola yake namuona kabisa haijui sanaa ya mapigano. Angeugusa muziki wa mtu kama mimi, angekiona cha moto. Sema kakutana na ASIYEJUA mwenzake akamuonea. Dah. HASIRA
 
Hii ni fedheha kubwa sana kwa TISS na Jeshi la Polisi.
Unawezaje kumtetea Mtumishi mwenye tabia za hovyo Kama huyo?
Watumishi wa TISS wenye tabia hizi ndiyo wanaifanya taasisi hiyo ionekane kwa umma kuwa ni Genge la Watu waovu wenye tabia chafu na za hovyo kabisa.

Wengi wao (i.e. Field Officers and Surveillance Officers/Agents wa Idara hiyo) huwa wanapenda Sana kushinda kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya Watu wengi Kama hayo. Kutwa kucha huwa wanapenda kuwepo kwenye maeneo ya starehe Kama vile Clubs, Restaurants, Bars or liquor stores, vijiwe vya kahawa au vijiwe vya kuuza magazeti, kwenye maeneo jirani na Mageti au malango ya kuingia kwenye maeneo maarufu Kama vile hospitalini, hotelini, guests houses and lodges, viwanja vya mipira, kwenye mabanda ya video, n.k. Hizi ndio Ofisi zao Kuu za kufanyia kazi zao, ingawaje wapo wanapatikana kwenye maeneo mengi Kama siyo yote.
 
Changamoto ya mwanaume asiyejutambua alafu akamiliki pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…