Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Wewe kama nani? Amiri Jeshi Mkuu wake yupo "content" nao hawa MAPORISI. Hukusikia akiwapa baraka za ki-mwendo kasi, wakikamata gari wachomoe matairi, au wapokee rushwa in the name of "kubrashia viatu"? Wacha tuisome namba.Huyo polisi anastahili kusimamishwa kazi.
Ndo mambo gani sasa hayo ya kufyatua risasi hewani kama siyo kutishia watu?
Ingekuwa ni juu yangu ningemfukuzia mbali kabisa maana hafai huyo....he is too trigger happy!
Sawa. Mungu hakunileta duniani nikiwa na akili ndogo za kuweza kuwa polisi. Hizo akili nimezipita kwa mbali mnoo. Silalamiki kwa kutamani kutamani kazi yao, bali kulaani ujinga wao.Ndiyo maana huweze kua mkubwa wake.
Utaishia kupiga kelele JF
Tuheshimu mamlaka na mamlaka ituheshimu.
Tusizoweshwe milio ya silaha tunaweza izoea.
Wrong Parking ni kosa linalozungumzika.
Majembe na Yono mambo mengine tumieni busara.
He's no longer an MPs!K
Kikawaida/kitaratibu/kiitifaki mbunge ni mtu mwenye heshima katika jamii , askari alipaswa kutoa salamu ya saluti , askari wetu hawajui mipaka yao!
Hata hujaelewa nilichokiandika!!Wewe kama nani? Amiri Jeshi Mkuu wake yupo "content" nao hawa MAPORISI. Hukusikia akiwapa baraka za ki-mwendo kasi, wakikamata gari wachomoe matairi, au wapokee rushwa in the name of "kubrashia viatu"? Wacha tuisome namba.
Magu hoyeeee!
Tukutane 2020
Hivi wewe ukienda nje ya ukuta wa ikulu ambapo pameandikwa no parking , ukapaki na kubakia kwenye gari utakuwa umetenda kosa au utakuwa hujatenda kosaHujaelewa kabisa. Gari iliyopaki na dereva akiwa ndani
Kwani nilikuzuia usichape hizo kazi?Wewe usiyekua zuzu nenda uwe polisi maana haukatazwi ila ukiona huwezi kua polisi tulia walioweza kua polisi wachape kazi
Yan haelewi Kama hata Kama alipaki katikati ya barabara suluhu sio Kama hiyo aliyoifanya huyu dogo, kwani si kuna sheria zake.Hujaelewa kabisa. Gari iliyopaki na dereva akiwa ndani
Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Sawa. Mungu hakunileta duniani nikiwa na akili ndogo za kuweza kuwa polisi. Hizo akili nimezipita kwa mbali mnoo. Silalamiki kwa kutamani kutamani kazi yao, bali kulaani ujinga wao.
Mzee wake yalimkuta haya haya, mbona watu hawasomi alama za nyakati wakatulia! Pesa za serikali waibe wao alafu serikali imekutema anajifanya mjanja, it's totally sad!Jamaa yupo kwenye black book ya Sizonje anasubiri kufutwa uanachama, halafu na risasi tena zinamsogelea!!!?
Matatizo ni kujibu bila ushahidi, hilo lilishatolewa maelezo na waziri mwenye dhamana, fuatilia hansard za bungeni!Unajua ni watu wa namna gani wanatakiwa kupigiwa salute, mbuge bado hajafikia hatua ya kupigiwa salute
Ile gari walikuja nayo maaskari na hao jamaa wa majembe auction, gari ya Adam Malima ni V8 white ilipaki pembenimkuu ile gari ndio wameichukua hao polisi au vipi, na hao majembe siku hizi wamekuwa walinzi
Well said!Mkuu, umeangalia clip gani ambayo imeonyesha wananchi walitaka kujichukulia sheria mkononi? maana kwenye hizo clip, wananchi walikuwa so peaceful...... Yaani nyie hata mkipewa ushahidi wa wazi, hamwachagi kusema uongo?
Hata nawe huelewa "nilichokiandika"...Hata hujaelewa nilichokiandika!!