Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Hujui lolote katika ulinzi, ganda la risasi ni muhimu kuokotwa likitumika vibaya litaleta madhara pengine mtu kupoteza kazi.

Vyovyote. Lakini aliyekumbuka kuokota ganda si aliyefyatua. Na hata hivyo, risasi imetumika vibaya pamoja na ganda kuokotwa. What do you think?
 
Wanabodi.
Askari yule katika tukio la Adam Malima afutwe kazi kwa utovu wa nidham alioufanya, ametia dosari jeshi letu pendwa hivyo aubebe mzigo wake.
We unadhani watu wanafutwa kazi kwa maelekezo ya bavicha! Bangi za chooni hizo zinakusunbua, huoni alikuwa anajihami na ana fedha za umma.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
hivi mnapoona wamezibeba huwa mnadhani ni kwaajili ya wanyama?....safi sana askari wetu unajua matumizi sahihi ya silaha
 
Huyo Askari apelekwe Kibiti akapambane na wanaume aache ujinga...

Hawa askari ndiyo wanaotengeneza uhasama baina yao na raia.......
Kwani huyo Malima ndio nani hata asiheshimu sheria za nchi?
 
Kinachosikitisha ni kwamba RAIA WA TANZANIA sasa hivi HAWAOGOPI tena bunduki, kwa enzi za zamani hapo watu walishatoka mbio na taharuki, lakini sasa hivi wanamuangalia na kumwambia HANA MAMLAKA ya kutoa bunduki! HII INAASHIRIA NINI?
Wamejifunza kutoka kwa Harmorapa...
 
An fedha gani za umma alikuwa anajiami na nimi hapo ww?hacheni uninga huyu alistaili kufukuzwa kazi na kunyongwa kabsa
 
Wanabodi.
Askari yule katika tukio la Adam Malima afutwe kazi kwa utovu wa nidham alioufanya, ametia dosari jeshi letu pendwa hivyo aubebe mzigo wake.
Nani analipenda to be specific?
 
Umeongea meeengi lakini pumba, mbona IQ ya huyo mhe Malima hukuiongelea? Watu wako kazini escort, anaambiwa atoe gari anablock gari la escort, anaamriwa kuondoka anasogeza tumbo lake, warning shot inapigwa anajifanya mgambo Sugu haondoki, what if the soldiers could've loose their temple?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…