Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Hakuna kitu kibaya kama mazoeya milio ya risasi itakapo kuwa ni kawaida upande wa wananchi nadhani tutarudi kwenye vita vya maji maji, tuendeleeni hivi hivi kuna siku ya hukumu mapinduzi ni HardCore •
 
Duh aisee ni shida
 
There you are! Na hiv walimwona aliyetishiwa na Nape hakufanywa kitu, ndo katageuka kamchezo haka! Usishangae kesho huyu akaitwa ikulu kupongezwa!!!
NASISITIZA NAPE AKUTISHIWA BASTORA BALI ALIONESHWA BASTORA
 

I suppose ume comment kabla hujaona clip!!!
 
Wewe kwenye hizo clips umemwona mtuhumiwa, Mi sijamwona aliyetuhumiwa mwizi. Au sijakuelewa Mkuu? Mi nadhani tuachie tu hapa usitake kunipeleka mahali unapohisi ninataka kwenda na wala sitaki nikupeleke pale ninapohisi unataka kwenda.
 
Hapana asifukuzwe kazi bali apewe onyo.Kwa akili zake askari yule kama akifukuzwa kazi basi ni jambazi mtarajiwa.
Sio akili zakawaidaa nafkirii Alisha nyonya kimfuko haramuu. Mtu karelax kabisaa hana hataa toothpick ye kajihamii na bundukii na risasi nying
 
CC Nape Nnauye
 
acha ulofa...risasi zimetoka kwa mpigo si chini ya5 alafu embu angalia vizuri hiyo video
 
Kinachoniuma kwann Askari yule akumpiga hata ya mguu... Au angemfumua tu tumbo huyo Adam malima... Naona stress za awamu ya tano zinamchanganya...
Hahahaha
 
Jamaa hakutoa RPG kweli,
Manake yeye hutembea na arsenal kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…