Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Hakuna kitu kibaya kama mazoeya milio ya risasi itakapo kuwa ni kawaida upande wa wananchi nadhani tutarudi kwenye vita vya maji maji, tuendeleeni hivi hivi kuna siku ya hukumu mapinduzi ni HardCore •
 
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Duh aisee ni shida
 
There you are! Na hiv walimwona aliyetishiwa na Nape hakufanywa kitu, ndo katageuka kamchezo haka! Usishangae kesho huyu akaitwa ikulu kupongezwa!!!
NASISITIZA NAPE AKUTISHIWA BASTORA BALI ALIONESHWA BASTORA
 
50934f3ec3e8093fb6633cdbe1f8d030.jpg

POLISI WANAFIKI SANA.
 
Nahao watu waliotaka kumpiga Huyo jembe kumsingizia jambazi hamjaona kuwa hawana sheria mlishasema wamemzunguuka hatimae kigetokea nini si kumpiga mwisho mauti huyo polisi yupo sawasawa mnaposikia jambo msijitie kimbelembele engemtwanga mmoja ya makalio ingekua fundiaho kwa wengine kukimbilia umbea

I suppose ume comment kabla hujaona clip!!!
 
Sina la kukujibu maana naona unarudi kule kule, ningesema Posili ni wabaya sana, sijui Serikali nii.. saa hizi ningepewa 'like' lukuki - kisa? Nimesema mnacho taka kusikia namely getting even with the current Admninistration, kwani hatuwajui? Ukweli hamtaki kuhusikia because it doesn't serve any useful purpose 4 your hidden POLITICAL agenda, mnacho sahau ni kwamba mbinu zenu za kutaka ku-incite wananchi zikifikia super saturated na nyinyi hamtabaki salama msije mkajidanganya hapa.
Wewe kwenye hizo clips umemwona mtuhumiwa, Mi sijamwona aliyetuhumiwa mwizi. Au sijakuelewa Mkuu? Mi nadhani tuachie tu hapa usitake kunipeleka mahali unapohisi ninataka kwenda na wala sitaki nikupeleke pale ninapohisi unataka kwenda.
 
Hapana asifukuzwe kazi bali apewe onyo.Kwa akili zake askari yule kama akifukuzwa kazi basi ni jambazi mtarajiwa.
Sio akili zakawaidaa nafkirii Alisha nyonya kimfuko haramuu. Mtu karelax kabisaa hana hataa toothpick ye kajihamii na bundukii na risasi nying
 
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

CC Nape Nnauye
 
Watanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.

Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.

Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?

Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
acha ulofa...risasi zimetoka kwa mpigo si chini ya5 alafu embu angalia vizuri hiyo video
 
Jamaa hakutoa RPG kweli,
Manake yeye hutembea na arsenal kabisa!
 
Back
Top Bottom