Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 445
Naomba unisaidie kushare!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
huyo polisi atakuwa hana vyeti
NASISITIZA NAPE AKUTISHIWA BASTORA BALI ALIONESHWA BASTORAThere you are! Na hiv walimwona aliyetishiwa na Nape hakufanywa kitu, ndo katageuka kamchezo haka! Usishangae kesho huyu akaitwa ikulu kupongezwa!!!
Nahao watu waliotaka kumpiga Huyo jembe kumsingizia jambazi hamjaona kuwa hawana sheria mlishasema wamemzunguuka hatimae kigetokea nini si kumpiga mwisho mauti huyo polisi yupo sawasawa mnaposikia jambo msijitie kimbelembele engemtwanga mmoja ya makalio ingekua fundiaho kwa wengine kukimbilia umbea
Wewe kwenye hizo clips umemwona mtuhumiwa, Mi sijamwona aliyetuhumiwa mwizi. Au sijakuelewa Mkuu? Mi nadhani tuachie tu hapa usitake kunipeleka mahali unapohisi ninataka kwenda na wala sitaki nikupeleke pale ninapohisi unataka kwenda.Sina la kukujibu maana naona unarudi kule kule, ningesema Posili ni wabaya sana, sijui Serikali nii.. saa hizi ningepewa 'like' lukuki - kisa? Nimesema mnacho taka kusikia namely getting even with the current Admninistration, kwani hatuwajui? Ukweli hamtaki kuhusikia because it doesn't serve any useful purpose 4 your hidden POLITICAL agenda, mnacho sahau ni kwamba mbinu zenu za kutaka ku-incite wananchi zikifikia super saturated na nyinyi hamtabaki salama msije mkajidanganya hapa.
Sio akili zakawaidaa nafkirii Alisha nyonya kimfuko haramuu. Mtu karelax kabisaa hana hataa toothpick ye kajihamii na bundukii na risasi nyingHapana asifukuzwe kazi bali apewe onyo.Kwa akili zake askari yule kama akifukuzwa kazi basi ni jambazi mtarajiwa.
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
acha ulofa...risasi zimetoka kwa mpigo si chini ya5 alafu embu angalia vizuri hiyo videoWatanzania tumezoea kuongea kwa fashion ya upepo wa kisiasa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka wananchi walipomzingira mtu walijua ni mwizi na wangeweza kumuua sasa polisi kupiga risasi juu ni kwa nia ya kutawanyisha watu ili kuepusha kifo cha jamaa.
Fashion zingine zinatuvua nguo ni vema tukaachana nazo.
Tazama heading ya hii habari, risasi zarindima! Katika maelezo risasi moja ndiyo imepigwa hewani sasa risasi zirizolindima ni ngapi na ziko wapi katika maelezo?
Mwanzoni mwa habari, mleta mada anasema kumekuwepo na majibizano ya risasi, mwishoni anasema risasi moja ndiyo imefyatuliwa hewani, sasa hayo majibizano ya risasi ni baina ya polisi na nani? ikiwa mmiliki wa gari hakua na silaha na wananchi hawakua na silaha!
Nasikia aliyefyatua kaachishwa kaz
HahahahaKinachoniuma kwann Askari yule akumpiga hata ya mguu... Au angemfumua tu tumbo huyo Adam malima... Naona stress za awamu ya tano zinamchanganya...
Hahahaha kwa kweliHapa kazi tu!