ngome1838
JF-Expert Member
- Feb 20, 2019
- 2,027
- 2,490
Uzinzi ni moja ya sababu za kuvunja ndoa endapo upo ushahidi madhubuti ILA hakikisha wewe mwenyewe sio mzinzi vinginevyo endelea na ndoa yako kwani wafananao huruka pamoja.Amesha mwaga damu, Bora asingefanya kitendo hicho, akiachana nae haina maana tena
Kama Masanja hajawahi kupewa jamaa alichokula na labda alikuwa anapenda lakini anaogopa kuomba huu ni wakati muafaka kwake nae kujihudumia.Kuhusu mtoto asipate shida sbb katibu yupo na Yuda tayari .Ajitahidi tu amzalishe mkewe kila baada ya miaka 2 na ajitahidi awe na watoto sio chini ya 10.Masanja atakuja kunishukuru